• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za maji
      • Miundombinu
      • Huduma za Ugani
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Kilombero
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

Hali ya Mifugo Morogoro

Kutokana wingi wa Mifugo katika Mkoa wa Morogoro, RCC iliyofanyika tarehe 27/2/2015 na tarehe 26/2/2016 kiliazimia Mkoa kutoa tamko la kusitisha uingizaji mifugo  kutoka nje ya mkoa. Agizo hilo pia lilisisitiziwa na kikao cha Halmashauri ya Mkoa ya CCM iliyoketi tarehe 7/8/2015. Maagizo hayo yalipelekea Mkuu wa Mkoa kutoa tamko la kusitisha uingizaji wa mifugo kutoka nje ya Mkoa wa Morogo  mnamo tarehe 20/5/2016. 

Tamko la Mkuu wa Mkoa limezingatia sheria zifuatazo za mifugo;

     a) Sheria ya Magonjwa ya Mifugo Na. 17 ya mwaka 2003 kifungu cha 43

     b) Sheria ya Nyanda za Malisho na Rasilimali ya Vyakula vya Mifugo Na.13 ya mwaka 2010 kifungu cha 20.

     c) Sheria ya Usajili, Utambuzi na Ufuatiliaji wa Mifugo Na. 12 ya mwaka 2010 kifungu cha 12 na 24

Baada ya Tamko hilo, Mkoa ulisimamia kwa dhati utekelezaji wa Tamko hilo. Shughuli kubwa iliyofanyika ni ya  Utambuzi na Ufuatiliaji wa mifugo.  Utambuzi wa mifugo ulifanywa kwa kuweka alama ya Chapa ya Moto kwa  Ng’ombe wote walioko ndani ya Mkoa.  Zoezi hilo lilianza tarehe 1 Juni, 2016 na lilikuwa endelevu.

 

Kuanzia 1/6/ 2016 Halmashauri zote zimekuwa zikitoa Elimu kwa  njia ya mikutano ya hadhara kwa Wafugaji. Baada ya hapo wafugaji walisajiliwa na mifugo yao kupigwa Chapa. Wafugaji waliosajiliwa walipewa Vitambulisho.

Hadi kufikia 1/12/ 2016 jumla ya Ng’ombe 351,406 walipigwa chapa kati ya Ng’ombe 894,504 sawa na asilimia 39% kama jedwali linavyoonesha hapa chini.

NA
HALMASHAURI
MAKADIRIO YA IDADI YA MIFUGO
WALIOPIGWA CHAPA
ASILIMIA
1
Malinyi
79709
106130
133%
2
Ulanga
26119
44434
170%
3
Morogoro
164691
     2479
1.5%
4
Manispaa
5320
3020
57%




Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU(MOCK) KIDATO CHA NNE MEI-2019 MOROGORO July 29, 2019
  • Karibu kuwekeza Mkoani Morogoro September 26, 2019
  • Ifahamu Miongozo ya uazishwaji wa minada ya mifugo, uuzaji wa mifugo katika minada, ukusanyaji wa mapato kupitia minada, nyaraka zinazohitajika katika kusafirisha mifugo n.k Bofya hapa.. February 14, 2020
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2020 - MKOA WA MOROGORO December 07, 2019
  • View All

Habari Mpya

  • RC SANARE AAGIZA TAKUKURU KUFANYA UCHUNGUZI WA MIL. 260

    January 24, 2021
  • NIMR YAANZA TAFITI ZA KUTIBU MALARIA.

    January 22, 2021
  • RC Morogoro atoa siku 11.

    January 21, 2021
  • WANACHI KIJIJI CHA WAMI LUHINDO WAHAMASIKA KUJENGA SHULE, WAOMBA SIKU YA HARAMBEE IPANGWE KARIBU.

    January 17, 2021
  • View All

Video

Anayetaka kumuheshimu Rais amuheshimu Mwananchi - RC Sanare
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2020 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.