• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za maji
      • Miundombinu
      • Huduma za Ugani
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Kilombero
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

Shughuli za Uzalishaji kwa Wananchi

Ili kuongeza uzalishaji  msimu wa 2016/17 Mkoa umeendelea kusimamia shughuli mbali mbali za kilimo

1.Usambazaji wa pembejeo za ruzuku ambapo mkoa umepokea Mbolea ya kukuzia tani 1,080, Mahindi tani 162 na Mpunga tani 120.  (Kaya 21,600 Mbolea, 24,200- Mbegu)

2.Mradi wa kuendeleza skimu ndogo za umwagiliaji (SSIDP) ambapo mkoa ulipokea jumla ya Tshs. 2, 740, 000,000/=  Kwa ajili ya kuendeleza skimu 4  ambazo ni Kiroka na Tulo Kongwa (Morogoro) Wami Luhindo (Mvomero), Lumuma (Kilosa) na Minepa (Ulanga).

3. Mradi wa Kuongeza tija na uzalishaji wa zao la mpunga (Expanding Rice Production Project –ERPP). Mradi huu utaendeleza ujenzi wa skimu tano za mkoa wa Morogoro ambazo ni Kigugu na Mbogo kwa Mtonga (Mvomero), Mvumi (Kilosa), Njage na Msolwa ujamaa (Kilombero). Kila skimu itajengea ghala. Pia mradi utatoa mafunzo ya Kilimo shadidi kwenye skimu 40 za Mkoa wa Morogoro.

4,Mradi wa MIVARF unaofadhiliwa na Banki ya Afrika. Unajenga maghala ya kuhifahi mazao katika Halmashauri za Wilaya ya Mvomero, Kilombero, Ulanga na Malinyi. Mradi pia utatoa mashine za kukoboa na kupanga Mpunga kwenye madaraja Kwa wilaya hizo isipokuwa Kilombero

 

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU(MOCK) KIDATO CHA NNE MEI-2019 MOROGORO July 29, 2019
  • Karibu kuwekeza Mkoani Morogoro September 26, 2019
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2020 - MKOA WA MOROGORO December 07, 2019
  • View All

Habari Mpya

  • Magereza Yarejesha Eneo kwa Wananchi Ifakara

    December 06, 2019
  • Waziri Kairuki ampongeza RC Sanare kutenga maeneo ya uwekezaji Morogoro.

    December 04, 2019
  • Sanare awataka wakazi wa morogoro kuwa na tabia ya kufuatilia nyaraka muhimu

    November 28, 2019
  • Uchaguzi, Serikali za Mitaa 2019

    November 24, 2019
  • View All

Video

Anayetaka kumuheshimu Rais amuheshimu Mwananchi - RC Sanare
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2018 Mkoa wa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa