RAS Morogoroastaafu, aagarasmi, atoaushauriMzitokwawatumishi.
KatibuTawala MkoawaMorogoro Clifford TandariamestaafukatikautumishiwaUmmabaadayakufanyakazikwaMiaka 38 hukuakifanyakazikatikaOfisimbalimbalindaniya Serikali.
HABARI ZAIDI KATIKA PICHA
Clifford Tandari akisaini moja ya nyaraka za makabidhiano ya Ofisi hiyo.
Mwakilishi wa Kaimu RAS, Jacob Kayange ambaye pia ni Mratibu wa TASAF Mkoa akisaini nyaraka za makabidhiano ya Ofisi hiyo kwa niaba ya Kaimu RAS Bw. Noel Kazimoto.
Picha inayoonesha Makabidhiano rasmi ya Kiofisi. RAS Mstaafu Clifford Tandari (Kushoto) akimkabidhi Ofisi Jacob Kayange kwa niaba ya Kaimu RAS Bw. Noel Kazimoto.
RAS Mstaafu (mwenyetai) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watumishi kutoka Ofisi ya RC Morogoro.
Baadhi ya wawakilishi wa Wakuu wa Idara/ Vitengo kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wakiwa katika picha ya pamoja na RAS Mstaafu mara tu baada ya makabidhiano rasmi ya Ofisi hiyo.
Baadhi ya Watumishi kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wakimuaga RAS Mstaafu.
RAS Mstaafu Mkoa wa Morogoro Clifford Tandari akiwaaga watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro ambayo ameitumikia kwa takribani miaka miwili.
KILA LA KHERI KIONGOZI WETU HODARI – NA MTUMISHI WA WATU
Haki Miliki © 2020 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.