Waziri wa Maliasili na Utalii Jumanne Magembe - MB ambaye pia ni Mgeni rasmi siku ya uzinduzi wa Maonesho ya Nanenane Kanda ya Mashariki akipewa maelezo na Mkuu wa chuo cha utafiti cha mbegu za Mpunga Cholima Bi. Sophia Kashenge wakati akitembelea mabanda na Vipando kabla ya kuzindua maonesho hayo.
Haki Miliki © 2018 Mkoa wa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa