Mwenge wa Uhuru 2018 umeanza kukimbizwa tar.21 Julai 2018 Mkoani Morogoro Mwenge huo utakimbizwa umbali wa Km. 2091 utapitia jumla ya miradi 57 yenye gharama zaidi ya shilingi 17.6bil.
utakimbizwa Halmashauri 9 za Mkoa huu na Julai 30 mwenge wa Uhuru utakabidhiwa Dodoma Wilaya ya Mpwapwa katika kijiji cha Lumuma.
Haki Miliki © 2020 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.