• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za maji
      • Miundombinu
      • Huduma za Ugani
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Kilombero
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

RC Morogoro awashukia wakwepa kodi Ifakara.

Posted on: January 7th, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Ole Sanare amemuagiza Kamanda wa Jeshi la Polisi Wilaya Kilombero kuwatia mbaloni wafanyabiashara watatu kwa tuhuma za  kuhujumi uchumi wa nchi.

Loata ametoa agizo hilo Januari 7 mwaka huu ikiwa ni siku ya pili  ya ziara yake ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Shule za Sekondari kwa ajili ya wanafunzi wa kidato cha kwanza wanaotarajiwa kuanza masomo januari hapo 11, 2021.

Aidha, Kukamatwa kwa wafanyabiashara hao kumetokana na madai ya kuuza bidhaa mbali mbali bila kuwa na leseni kutoka kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hivyo kuhujumu uchumi wa nchi licha ya Serikali inayoongozwa na Dkt. John Pombe Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutilia Mkazo katika suala nzima la ulipaji kodi.

Mkuu huyo wa Mkoa amebinisha baadhi ya bidhaa ambazo wafanyabiashara hao wamekuwa wakiuza bila kulipa kodi kwa Mamlaka husika, kuwa ni pamoja na Saruji katika maduka ya kuuza vifaa vya ujenzi ambapo wamekuwa wakiuza bidhaa hiyo bila kutoa risiti kwa wanunuzi.

Sambamba na hayo, Loata ametoa agizo kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania - TRA kufanya utafiti juu ya mfanyabiashara Didas Kessy Paul juu ya mifuko ya saruji inayoingia na kutoka, kutokana na kuchanganya mifuko  isiyo na vigezo katika sehemu moja huku ikisemekana kuuzwa kwa wananchi.

‘’TRA Naenda vijijini nikirudi hapa nipate proper record ya huyu mfanyabiashara anaingiza mifuko mingapi na anatoaje’’ amesema Sanare

Mkuu wa  Wilaya ya Kilombero Ismail Mlawa, amekiri kuwepo kwa wafanyabiashara ambao hawalipi kodi kwa muda mrefu huku akimtaja mmoja wa wafanyabiashara hao Ndg Robert Mbilinyi amekuwa mmoja wa wafanyabiashara wasumbufu katika ulipaji kodi ndani ya Wilaya hiyo hali iliyopelekea kutozwa faini ya zaidi Mil.10 miezi miwili iliyopita.

Naye, Afisa Mapato Wilaya ya Kilombero Amani Timotheo ametaja majina ya wafanyabiashara ambao wamekuwa wakifanya biashara bila kulipa kodi kuwa ni James Mwaisungu ambaye anajihusisha na uuzaji wa vifaa vya pikipiki na Ndg. Robert Mbilinyi muuzaji wa saruji.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU(MOCK) KIDATO CHA NNE MEI-2019 MOROGORO July 29, 2019
  • Karibu kuwekeza Mkoani Morogoro September 26, 2019
  • Ifahamu Miongozo ya uazishwaji wa minada ya mifugo, uuzaji wa mifugo katika minada, ukusanyaji wa mapato kupitia minada, nyaraka zinazohitajika katika kusafirisha mifugo n.k Bofya hapa.. February 14, 2020
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2020 - MKOA WA MOROGORO December 07, 2019
  • View All

Habari Mpya

  • Miradi 67 ya maji kutekelezwa Morogoro.

    January 15, 2021
  • Maafisa Ugani Morogoro watakiwa kuongeza jihudi, wapatiwa pikipiki.

    January 14, 2021
  • Mwenyekiti wa Kijiji mbaroni kwa kuuza Ardhi..

    January 13, 2021
  • RC Morogoro atembelea soko Kuu la Manispaa, atoa maelekezo.

    January 12, 2021
  • View All

Video

Anayetaka kumuheshimu Rais amuheshimu Mwananchi - RC Sanare
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2020 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.