Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe (aliyeshika kombe) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wachezaji wa timu ya mpira wa pete Mkoa wa Morogoro. Kushoto, waliokaa ni Katibu Tawala wa Mkoa huo Bw. Clifford Tandari.
Haki Miliki © 2020 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.