Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Fatma Mwassa akikabidhi Nyaraka za Serikali kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima kama ishara ya kukabidhi rasmi ofisi hiyo. Hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika Juni 1 mwaka huu katika ukumbi wa mikutano uliopo katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro. ">
Posted on: June 5th, 2023
Mhe. Adam malima (wa tatu kushoto) akitoa pole kwa viongozi wa shule yasekondari Compassion mara baada ya kutembelea shuleni hapo kujionea athari zilizosababishwa na moto. kulia kwake Mk...