Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Martine Shigela kwa niaba ya Wakuu wa Mikoa ya Tanga, Pwani na Dar es salaam anawakaribisha wananchi wote wa Mikoa hiyo pamoja na Mikoa jirani kwenye Maonesho ya wakulima ya Nanenane yatakayofanyika Mkoani Morogoro katika viwanja vya J.K Nyerere kuanzia 1-8 Agosti mwaka huu, yakiongozwa na kauli mbiu inayosema "Agenda ya 10/30 Kilimo ni biashara, shiriki kuhesabiwa kwa mipango bora ya kilimo, mifugo na uvuvi.
Haki Miliki © 2020 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.