Ofisi yetu ya Mkoa inahusika na kutoa huduma kuhama kwa Wanafunzi kutoka Wilaya moja kwenda Wilaya nyingine au Mkoa mmoja kwenda Mkoa mwingine na taratibu zote zinashughulikiwa na Katibu Tawala Msaidizi Elimu
Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.