• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Mlimba
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Ugavi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

Huduma za Elimu

                     SEKTA YA ELIMU

Idara ya Elimu inalo jukumu la kusimamia utoaji wa Elimu katika ngazi za Awali, Msingi, Sekondari, Elimu ya Watu Wazima na Elimu ya Juu. 

Ibara ya 52 ukurasa wa 97: Kuhakikisha Serikali inasimamia utekelezaji wa Sera ya Elimu na mafunzo ya mwaka 2014

Elimu ya Awali

Idadi ya wanafunzi wa Elimu ya Awali walioandikishwa imeongezeka kutoka 79,157 mwaka 2016 hadi 80,176 mwaka 2018 sawa na ongezeko la  1.3%. Idadi ya vyumba vya madarasa imeongezeka kutoka 56 hadi  176 sawa na ongezeko la 68 %. Idadi ya Walimu waliopata mafunzo ya Elimu ya Awali imeongezeka kutoka Walimu 272 hadi Walimu 1,020.

Elimu ya Msingi

Idadi ya wanafunzi walioandikishwa darasa la kwanza imeongezeka kutoka 43,909 mwaka 2016 hadi 82,795  mwaka 2018 sawa na ongezeko la 88%. Idadi ya wanafunzi imeongezeka kutoka Wanafunzi 418818 wakiwemo wavulana 206472 wasichana 212346 hadi wanafunzi 442625  wakiwemo wavulana  219,707 wasichana 222,918 Sawa na ongezeko la 5.7%. Ufaulu katika mitihani ya kumaliza elimu ya msingi umeongezeka kutoka  58.46% (2016) hadi kufikia 70.78 % (2017).

Elimu ya Sekondari

Hali ya mdondoko/kuacha shule kwa wanafunzi umepungua kutoka wanafunzi 2431 sawa na asilimia  2.9 hadi kufikia wanafunzi 2204 sawa na asilimia 2.4. Idadi ya nyumba za walimu imeongezeka kutoka 516 hadi kufikia nyumba 776 Sawa na ongezeko la nyumba 260. Idadi ya shule zimeongezeka kutoka 238 hadi kufikia shule 246. kati ya shule hizo, 183 ni  za Serikali  na   63 za watu binafsi.

Idadi ya vyumba vya madarasa imeongezeka kutoka madarasa 1710 hadi madarasa 2533. Matundu ya vyoo yameongezeka kutoka matundu  1933 hadi 3793  Sawa ongezeko la matundu 2083.Ufaulu umeongezeka kutoka 60.13 % hadi kufikia 73.73%. Nafasi ya Mkoa Kitaifa katika mtihani wa kidato cha sita imepanda kutoka nafasi ya   sita (6 ) hadi nafasi ya  Nne (4).

Idadi ya shule za Msingi imeongezeka kutoka shule 864 (2014) hadi shule 898 (2018) sawa na Ongezeko la asilimia 3. Katika shule hizo 842 ni za serikali na 56 ni za binafsi na shule shikizi 68.Wanafunzi Katika Shule za Msingi wameongezeka kutoka wanafunzi 395,616 (2014) hadi kufikia wanafunzi 565,269 (2018) sawa na ongezeko la asilimia 43.

Idadi ya Walimu katika shule za Msingi imeongezeka kutoka walimu 9,590 (2014) hadi kufikia Walimu 9,696 (2018). Idadi hii ya walimu imeongezeka kiwango cha uwiano wa walimu kwa mwafunzi kutoka 1:41 (2014) hadi kufikia1:58 (2018).

Idadi ya wanafunzi waliofanya mtihani wa kumaliza Elimu ya msingi imeongezeka kwa asilimia 14 kutoka 42,078 (2014) hadi kufikia 47,959 (2018) hali hii imeongeza idadi ya wanafunzi wanaofaulu kutoka 21,078 (2014) hadi kufikia 37,111 (2018) sawa na ongezeko la wanafunzi kwa asilimia 76.

Jedwali: Idadi ya shule za msingi (Serikali na Binafsi) zenye usajili Desemba 2018

NA.

HALMASHAURI

SHULE ZA SERIKALI

SHULE SHIKIZI

 

SHULE ZISIZO ZA SERIKALI

JUMLA

1

KILOSA

157

6


7

164

2

MVOMERO

144

14


3

147

3

GAIRO

62

11


1

63

4

IFAKARA MJI

33

2


7

40

5

KILOMBERO

131

3


4

135

6

MOROGORO MC

63

2


31

94

7

ULANGA

60

7


1

61

8

MOROGORO DC

157

8


2

159

9

MALINYI

35

15


0

35


JUMLA

842

68

 

56

898

 

Jedwali: Idadi ya Wanafunzi Shule za Msingi za Serikali na Binafsi Desemba, 2018

HALMASHAURI

IDADI YA WANAFUNZI – SERIKALI(AWALI-VII)

IDADI YA WANAFUNZI - BINAFSI

JUMLA KUU

WAV

WAS

JML

WAV

WAS

JML

WAV

WAS

JML

GAIRO

20,921

23,240

44,161

67

52

119

20,989

23,291

44,280

MVOMERO

41,297

41,104

82,401

99

108

207

41,396

41,212

82,608

ULANGA

19,888

19,290

39,180

42

38

80

19,930

19,330

39,260

IFAKARA

12,511

12,134

24,645

1,200

1,195

2,395

13,816

13,404

27,220

KILOSA

51,735

53,290

105,025

740

776

1,516

52,115

54,066

106,181

MOROGORO MC

30329

28657

58986

7734

7800

15534

38,063

36,457

74,520

KILOMBERO

41,023

39,943

80,966

422

361

783

41,445

40,304

81,749

MOROGORO DC

38,031

35,960

73,991

197

210

407

38,228

39,170

77,398

MALINYI

16,327

15,726

32,053

-

-

-

16,327

15,726

32,053

JUMLA

272,062

269,344

541,408

10,501

10,540

21,041

282,309

282,960

565,269

Jedwali: Mahitaji ya Walimu wa Msingi kwa Halmashauri

HALMASHAURI
MAHITAJI

WALIOPO

 
% ya
Upungufu
ME
KE
JUMLA
UPUNGUFU
GAIRO

1,104

367

297

664

440

40

MVOMERO

1,831

643

813

1456

375

20

ULANGA

1,100

366

293

659

441

40

IFAKARA MJI

616

157

354

511

105

17

KILOSA

2,091

667

859

1526

565

27

MOROGORO MC

1354

344

1746

2090

0

0

KILOMBERO

2,021

610

505

1115

906

45

MOROGORO DC

1,644

556

694

1250

394

24

MALINYI

816

267

158

425

391

48

JUMLA

12,577

3,977

5,719

9,696

3,617

29

 

MI CHEZO  

Ibara 161 Ukurasa wa 218-219:  Kuimarisha Sekta ya Michezo ili kuinua kiwango cha michezo nchini ikiwa ni pamoja na kuifanya Sekta ya Michezo kutoa fursa za ajira husasan kwa vijana. Viwanja vimeongezeka kutoka viwanja 353 vyenye sifa hadi 383

Shule zinazofundisha michezo zimeongezeka  kutoka  shule 233 hadi shule 237. Kuanzishwa utaratibu wa kufanya mazoezi kwa watumishi kila siku ya Jumamosi ya mwisho wa mwezi ili kuimarisha afya zao.








































































































































































































































































































































Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. May 13, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • Vyama vya Ushirika Vyatakiwa Kutumia TEHAMA

    May 14, 2025
  • ZINGATIENI SHERIA, KATIBA NA KANUNI YA VYAMA VYENU - MUTUNGI.

    May 14, 2025
  • WANAFUNZI 214 WA KIDATO CHA KWANZA SEKONDARI ZA MONGOLA, MGETA WAPEWA MICHE 2140 YA MIKARAFUU

    May 13, 2025
  • RC MALIMA ATOA WITO KWA WANANCHI KUSHIRIKI MAADHIMISHO MIAKA 80 YA HOSPITALI, AMSHUKURU RAIS SAMIA.

    May 13, 2025
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akikagua ujenzi wa jengo la ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro

    Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO

    Simu: +2550232934305

    Simu: +255766828252

    Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.