Ni matukio mbalimbali yaliyotokea wakati Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Martine Shigela akishiriki mabaraza ya madiwani yaliyokaa vikao maaluma kwa ajili ya kujibu hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali - CAG za mwaka wa fedha 2019/2020. Katika kushiriki Mabaraza hayo, Mhe. Shigela aliambatana na Katibu Tawala wa Mkoa huo Bi. Mariam Mtunguja pamoja na watumishi wengine wa Ofisi ya RC.
RC Shigela (wa Nne kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Wahe. Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro DC.
Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba. wa nne kulia ni RC Shigela na kushoto kwake ni Katibu Tawala wa Mkoa huo Bi. Mariam Mtunguja.
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa
Mhe. Shigela (aliyevaa tai) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo wakati wa Kikao Maalum cha Baraza la Madiwani.
Wahe. Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero wakimsikiliza RC Shigela wakati wa baraza hilo.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro Bi. Mariam Mtunguja (wa kwanza kushoto) akiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa katika baraza la Madiwani Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro.
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga.
Mhe. Shigela (wa nne kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Halmashauri ya Mji Ifakara wakati wa Kikao Maalum cha Baraza la Madiwani.
RC Shigela akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Mathayo Maselle kabla ya kuanza kwa baraza maalum la Wahe. Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya hiyo.
Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.