Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Salum Haji Othman (Katikati) akiwa katika picha ya pamoja na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima (wanne kushoto) na baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama (KUU) alipomtembelea ofisini kwake wakati wa ziara ya kikazi Mkoani humo Septemba 20, 2023.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima (Kulia) akiwa na mgeni wake Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Salum Haji Othman alipomtembelea ofisini kwake Septemba 20, 2023.
Mhe. Adam Malima (kushoto) akiteta jambo na mgeni wake Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Salum Haji Othman (katikati) kabla ya kuagana alipofika ofisini hapo.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro
Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO
Simu: +2550232934305
Simu: +255766828252
Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz
Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.