Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro Mussa Ali Musa aliyeteuliwa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili rasmi leo Agosti 3,2022 ofisini kwake tayari kuanza majukumu yake mapya ya kiofisi na kuwahudumia wananchi wa Mkoa huo.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro Dr. Mussa Ali Mussa
RAS akizungumza na timu ya menejimenti ya Mkoa wa Morogoro (hawapo pichana)
Aliyekuwa Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro, Mhandisi Ezron Kilamhama akimkaribisha Katibu Tawala wa MKoa huo mara baada ya kuwasili katika ofisi hiyo
RAS Morogoro akifanya kikao chake cha kwanza na wajumbe wa menejimenti ya Mkoa mara baada ya kuwasili hii leo.
RAS Morogoro (wa sita kushoto) akiwa katika Picha ya pamoja na wenyeji wake Wajumbe wa Menejimenti ya Mkoa huo, mara baada ya kuwasili Mkoani humo
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro
Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO
Simu: +2550232934305
Simu: +255766828252
Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz
Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.