Baadhi ya Maafisa Maendeleo ya Vijana wa Mkoa wa Morogoro wakiwa kwenye banda lao Mkoani Dodoma yanapofanyika maadhimisho ya siku ya Vijana Kimataifa mwaka 2024.
Maadhimisho hayo yana kauli mbiu inayosema “Vijana na matumizi ya Fursa za Kidigitali kwa Maendeleo Endelevu”
Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.