Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro Eng. Emmanuel Kalobelo akishirikiana na Wajumbe wa Menejimenti ya Mkoa huo kwa niaba ya watumishi wa Serikali wa Mkoa huo, Taasisi za Serikali na zisizo za Serikali pamoja na wananchi wote wa Mkoa huo amemshukuru aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Erasto Ole Sanare kwa kufanya Kazi kwa ushirikiano kwa kipindi chote alichofanya kazi ndani ya Mkoa huo. Aidha, wanamtakia Loata Ole Sanare kila lililo jema Mbele za Mungu na kumtakia Afya njema na Mafanikio tele.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro
Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO
Simu: +2550232934305
Simu: +255766828252
Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz
Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.