• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Mlimba
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Ugavi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

RC MALIMA AWATAKA VIJANA KUJIUNGA KWENYE VIKUNDI KUPATA FEDHA ZA 10%

Posted on: December 2nd, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Ali Malima amewataka vijana kujiunga kwenye vikundi ili kupata mikopo ya 10% inayotolewa na kila Halmashauri ikiwa ni juhudi ya Serikali kupambana na umasikini.

Mhe. Malima ametoa wito huo Disemba 2, 2023 wakati akifunga bonanza ya vijana iliyoandaliwa kwa lengo la kutoa ajira kwa vijana kupitia pfogram ya SET na OYE bonanza iliyoandaliwa na kudhaminiwa na serikali ya uswizi nia kubwa ikiwa ni kuwajengea uwezo vijana kuwa wajasilia mali katika sekta mbalimbali kama vile ufugaji, uvuvi, kilimo na ufundi stadi.

Aidha, Mhe. Malima amebainisha kuwa fedha za asilimia kumi  zipo katika Halmashauri zote za Mkoa wa Morogoro hata hivyo amebainisha kuwa fedha hizo hazitolewi kwa mtu mmoja mmoja bali hutolewa kwenye vikundi ambavyo vimesajiliwa na kukidhi vigenzo.

"...wote wanaosajili vikundi kwa hawa kupitia hela za SET wakafanya vizuri wakahitaji hela ya ziada na kwenye Halmashauri hizo Hela za 10% zipo zinasubiri vijana mjisajili mzipate..." amesema Mkuu wa Mkoa Malima.

Sambamba na hilo, Mkuu huyo wa Mkoa amesisitiza vikundi hivyo kurejesha fedha hizo  kwa wakati ili kuuweka mfuko kuwa hai na vijana kuaminiwa na serikali yao katika utekelezaji wa majukumu ya kukuza uchumi wao, Mkoa na Taifa kwa ujumla.

Kwa upande wake, Balozi wa uswizi hapa nchini Bw. Didier Chassot amesema mafunzo hayo ni muhimu sana kwa vijana katika kuwajengea uwezo sambamba na ubunifu ambapo mabanda mbalimbali aliyoyaona yameonesha ubunifu katika kazi zao, hivyo mafunzo hayo yamekuwa muhimu kwa vijana ambao ndio tegemeo la kesho.

Naye, Meneja wa mradi wa Fursa za ajira kwa vijana (OYE) amesema mradi huo unafanya kazi na vijana wote kuanzia miaka 18-35 ambao hawapo katika mfumo wa elimu ukiwa na lengo la kuboresha maisha ya vijana unaojikita zaidi katika upatikanaji wa ajira kwa vijana, kupata ujuzi mbalimbali kwa vijana hao.

Mwisho.

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. May 13, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • RC MALIMA ASHIRIKI MATEMBEZI YA HISANI, ASEMA HOSPITALI YA RUFAA INAHIMILI WAGONJWA.

    May 17, 2025
  • VYAMA VYA SIASA NCHINI VYATAHADHARISHWA

    May 15, 2025
  • RC MALIMA ATAKA VYAMA VYA USHIRIKA VYA WAFUGAJI

    May 15, 2025
  • Vyama vya Ushirika Vyatakiwa Kutumia TEHAMA

    May 14, 2025
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akikagua ujenzi wa jengo la ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro

    Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO

    Simu: +2550232934305

    Simu: +255766828252

    Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.