• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Mlimba
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Ugavi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

Serikali Yajipanga Kuibua, Kukuza Vipaji.

Posted on: June 23rd, 2024

Serikali Mkoani Morogoro imesema Serikali imejipanga kuibua na kukuza vipaji vya vijana na wananchi  Mkoani humo hususan katika michezo ikiwemo Riadha, Gofu na Mpira wa Miguu kwa manufaa ya wanamorogoro na taifa kwa ujumla.

Hayo yamebainishwa leo Juni 23, 2024 na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Ali Malima wakati akifunga mashindano ya siku ya Olimpiki - Olimpic day yaliyofanyika kitaifa  katika uwanja wa Jamhuri uliopo Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro Mkoani humo.

"... malengo yetu ni kuwa wawakirishi wazuri wa kamati ya Olimpiki kwa kuzalisha wanamichezo wa aina mbali mbali..." amesema Mhe. Malima 

Aidha, Mhe. Adam Malima amesema Mkoa wa Morogoro umeendelea kushirikiana na wadau mbalimbali kuweka mazingira mazuri yatakayowasaidia wanamichezo ili kuwezesha Mkoa huo kuwa Mkoa wa Michezo  kwani ndani ya wiki mbili kumekuwa na mashindano mawili yakiwemo Mashindano ya Gofu na Siku ya Olimpiki.

Kwa upande wake, Rais wa Kamati ya Olimpiki ya Tanzania Bw. Gulam Rashid amesema maadhimisho hayo hufanyika kila mwaka ambapo mwaka huu ni mwaka wa 130 tangu kuanzishwa kwake huku ikiwawezesha wachezaji mbalimbali wakiwemo wa riadha katika kufikia malengo mahususi pamoja na kuendeleza vipaji vya wachezaji.

Bw. Gulam ametumia fursa hiyo kumshukuru Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Wadau mbalimbali na Wafanyakazi wa Manispaa ya Morogoro kufanikisha usajili wa washiriki zaidi ya 800 waliotoka maeneo mbalimbali ya Mkoa huo na kufanikisha mashindano hayo.

Mwisho

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. May 13, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • RC MALIMA ASHIRIKI MATEMBEZI YA HISANI, ASEMA HOSPITALI YA RUFAA INAHIMILI WAGONJWA.

    May 17, 2025
  • VYAMA VYA SIASA NCHINI VYATAHADHARISHWA

    May 15, 2025
  • RC MALIMA ATAKA VYAMA VYA USHIRIKA VYA WAFUGAJI

    May 15, 2025
  • Vyama vya Ushirika Vyatakiwa Kutumia TEHAMA

    May 14, 2025
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akikagua ujenzi wa jengo la ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro

    Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO

    Simu: +2550232934305

    Simu: +255766828252

    Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.