MKURUGENZI WA MANISPAA YA MOROGORO ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WENYE MADAI YA VIWANJA NA MATATIZO YA MILIKI PANDIKIZI (DOUBLE ALLOCATION) NDANI YA MANISPAA YA MOROGORO, WAFIKE KWENYE KAMATI YA UHAKIKI WA MADAI HAYO WAKIWA NA NYARAKA KAMILI ZA MADAI YAO KATIKA OFISI YA ARDHI YA MANIPSAA HIYO.
Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.