• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Mlimba
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Ugavi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

WAKURUGENZI WATAKIWA KUSIMAMIA PIKIPIKI ZILIZOTOLEWA KWA AJILI YA URATIBU WA CHANJO.

Posted on: January 9th, 2025



Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Morogoro wametakiwa kusimamia utendaji kazi wa usafiri wa Pikipiki zilizotolewa na Serikali ya awamu ya sita kwa Waratibu wa Chanjo ngazi ya Wilaya ili pikipiki hizo ziweze kudumu kwa muda mrefu na kufanya kazi iliyokusudiwa .


Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima leo Januari 9, 2025 wakati akikabidhi pikipiki 13 kwa Wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Morogoro, Wenyeviti wa Halmashauri na Wakurugenzi wa Mkoa huo huku akiwataka wakurugenzi kwenda kuzisimamia kwa karibu matumizi yake.


“….namkabidhi DC ambaye ndiye kiongozi Mkuu wa Wilaya, Mwenyekiti wa Halmashauri na Mkurugenzi wake wakazisimamie zifanye kazi iliyokusudiwa” amesisitiza Kiongozi huyo.


Katika Hatua nyingine Mkuu wa Mkoa huyo amemshukuru Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Afya kwa kutoa pikipiki hizo 13 kwani amesema zitakuwa msaada mkubwa  katika suala nzima la uratibu wa Chanjo.


Kwa mujibu wa Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Bi. Prisca Gallet  amesema Mkoa umepokea gari moja kwa ajili ya huduma  chanjo ngazi ya Mkoa na pikipiki 13 kwa huduma hiyo ngazi ya Wilaya ikiwa ni awamu ya kwanza.


Kawa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mlimba Jamal Idrisa amesema kama halmashauri wanalo gari ya chanjo hata hivyo kutokana na mazingira walikuwa wanapata changamoto namna ya kusambaza chanjo kwa kupatiwa Pikipiki hizo Serikali imesaidia kupunguza changamoto hiyo.


Naye Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ulanga Mhe. Edson William amesema pikipiki hizo zitasaidia waratibu wa chanjo ngazi ya Wilaya kufikisha kwa wakati chanjo hizo kwa akina mama na Watoto hivyo zimeondoa changamoto iliyokuwa imerudisha nyuma zoezi la chanjo.  


MWISHO

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • RC MALIMA AKEMEA ULANGUZI WA MAZAO.

    May 08, 2025
  • WAAJIRI MOROGORO WATAKIWA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WAFANYA KAZI WAO.

    May 01, 2025
  • SERIKALI KUJENGA BARABARA YA LUPILO – MALINYI KWA KIWANGO CHA LAMI, Bil. 18 ZATOLEWA KUJENGA MADARAJA MAWILI.

    April 25, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WATAJA TUNU NNE ZA TAIFA.

    April 19, 2025
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akikagua ujenzi wa jengo la ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro

    Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO

    Simu: +2550232934305

    Simu: +255766828252

    Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.