• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za maji
      • Miundombinu
      • Huduma za Ugani
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Kilombero
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

Utawala na Rasilimali

Jeshi la Mgambo

Jeshi la Mgambo Mkoani limeendelea kuimarishwa na kuboreshwa kwa kutoa mafunzo kwa wananchi  wake . Lengo ni kutoa mafunzo kwa wanamgambo 600 kila mwaka utekelezaji ni kama ifuatavyo;-

S/N

Mwaka

Lengo

Utekelezaji

Ongezeko/Pungufu

1.

2010/11

600

690

90

2.

2011/12

600

616

16

3.

2012/13

600

492

-108

4.

2013/14

600

531

-69

5

2014/15

600

640

40

Wanamgambo wanashirikiana vyema na vyombo vingine vya Usalama katika kudumisha amani na utulivu Mkoani. Aidha dhana ya ulinzi shirikishi jamii imesaidia sana katika kuboresha ulinzi.

Mapambano dhidi ya Rushwa

Mkoa umeendelea kuwa mstari wa mbele katika kupiga vita na kukemea vitendo vya RUSHWA kupitia Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU). Jamii imeendelea kuhamasishwa na kuelimishwa juu ya athari za rushwa na madhara yake katika jamii na Taifa zima kwa ujumla.

Mwenge wa Uhuru

Katika kipindi chote nilipokuwa hapa, Mwenge wa Uhuru ulikuwa ukipita na kukimbizwa Mkoani kwa mafanikio makubwa ikiwa pamoja na kufikisha jumbe mbalimbali za Mwenge wa Uhuru. Mwenge kila unapokimbizwa umeweza kusaidia kuendeleza umoja na mshikamano wa wananchi kwani wamekuwa washiriki pamoja bila kujali itikadi zao za kisiasa, kidini,  hali zao n.k.  Mwenge pia umekuwa ni kichocheo cha kuwezesha miradi ya maendeleo kutekelezwa haraka,  kutoa elimu na ujumbe maalumu kwa wananchi kote ulikopita. Taarifa ya mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2012 inaonesha kuwa, Mkoa ulishika nafasi ya kumi ( 10 )  kitaifa na mwaka 2013 ulishika nafasi ya Nne ( 4 ) kitaifa kati ya Mikoa 30 iliyopo nchini. Kwa mwaka 2015 Mwenge wa Uhuru utapokelewa kutoka Mkoa wa Tanga na kukabidhiwa Mkoa wa Iringa.

Watumishi wa Mkoa

Mpaka tarehe 15 Desemba, 2014, idadi ya Watumishi wote katika Sekretarieti ya Mkoa na Serikali za Mitaa  ni 18,725. Mchanganuo wa watumishi hawa ni kama ifuatavyo:

Idadi ya Watumishi katika Mkoa

Mkoa/Halmashauri

Idadi ya Watumishi

             Asilimia
Mkoa

820

5

Manispaa

3,664

16

Morogoro DC

2,854

12

Mvomero

2,986

15

Kilosa

3,868

23

Kilombero

3,483

17

Ulanga

1,050

13

JUMLA

18,725

100

Chanzo: Taarifa za Uhakiki wa Madai ya Watumishi ,2014  

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU(MOCK) KIDATO CHA NNE MEI-2019 MOROGORO July 29, 2019
  • Karibu kuwekeza Mkoani Morogoro September 26, 2019
  • Ifahamu Miongozo ya uazishwaji wa minada ya mifugo, uuzaji wa mifugo katika minada, ukusanyaji wa mapato kupitia minada, nyaraka zinazohitajika katika kusafirisha mifugo n.k Bofya hapa.. February 14, 2020
  • MAONESHO YA NANENANE July 27, 2022
  • View All

Habari Mpya

  • WAALIMU WAAGIZWA KUSIMAMIA USALAMA NA MALEZI BORA KWA WANAFUNZI.

    January 28, 2023
  • MAAFISA ELIMU WAAGIZWA KUSIMAMIA MATUMIZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO

    January 28, 2023
  • RC FATMA MWASSA AWAAPISHA WAKUU WA WILAYA WAWILI.

    January 27, 2023
  • REA MKOANI MOROGORO KUMCHUKULIA HATUA MKANDARASI WA KAMPUNI YA HXJDL.

    January 26, 2023
  • View All

Video

Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2020 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.