• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Huduma za maji
      • Miundombinu
      • Huduma za Ugani
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Kilombero
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

Maji

Sensa ya mwaka 2012 inaonesha kuwa Mkoa wa Morogoro ulikuwa na wakazi wapatao 2,206,706. Hadi mwezi Dicemba, 2014 Wakazi wanaopata maji Vijijini ni asilimia 58.52. Kati ya vijiji 835 vya Mkoa wa Morogoro vijiji 345 vina kamati za maji, idadi ya vyombo vya watumia maji (COWSOs) vilivyoundwa hadi sasa imefikia 85.

Utekelezaji wa Miradi katika Vijiji 10 katika kila Halmashauri

Miradi mikubwa ya vijiji 10 inatekelezwa katika jumla ya vijiji 75, kati ya vijiji hivyo, vijiji 38 miradi imekamilika, vijiji 29 miradi ipo katika hatua mbalimbali za utekelezaji na vijiji 8 vipo katika hatua ya manunuzi ya Wakandarasi. Aidha katika utekelezaji huo, zaidi ya vituo 504 vimejengwa ambapo vinatoa huduma kwa watu wapatao 59,608, Jumuiya za watumia maji  (COWSOs) 71 zimeundwa kupitia Programu ya Maendeleo ya Sekta ya Maji.

Hali ya huduma ya maji mijini

Idadi ya watu wanaopata huduma ya maji mijini inakadiriwa kufikia 203,734 sawa na asilimia 77 ya wakazi wote waishio Mijini. Miji hiyo ni pamoja na Manispaa ya Morogoro, Kilosa, Gairo, Turiani, Mvomero, Mikumi, Ifakara na Mahenge. Mtandao wa maji safi umeenea kwa asilimia 83. Na mtandao wa majitaka umesambaa kwa asilimia 3.36.

Usimamizi wa rasilimali za maji

Usimamizi wa Rasilimali za Maji katika Mkoa wa Morogoro unafanywa na Ofisi za Maji Bonde la Wami/Ruvu (Kilosa, Mvomero, Morogoro na Gairo) na Ofisi za Maji Bonde la Rufiji (Ulanga, na Kilombero).

Kupitia Programu ya Maendeleo ya Maji, Mpango wa Usimamizi wa Pamoja wa Rasilimali za Maji, Bonde la Wami Ruvu, umeandaliwa na kukamilika. Utekelezaji wake utaanza mwaka huu wa fedha 2014/15. Kwa upande wa Bonde la Rufiji, Maandalizi ya mpango huu yanaendelea. 

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU(MOCK) KIDATO CHA NNE MEI-2019 MOROGORO July 29, 2019
  • Karibu kuwekeza Mkoani Morogoro September 26, 2019
  • Ifahamu Miongozo ya uazishwaji wa minada ya mifugo, uuzaji wa mifugo katika minada, ukusanyaji wa mapato kupitia minada, nyaraka zinazohitajika katika kusafirisha mifugo n.k Bofya hapa.. February 14, 2020
  • MAONESHO YA NANENANE July 27, 2022
  • View All

Habari Mpya

  • WAALIMU WAAGIZWA KUSIMAMIA USALAMA NA MALEZI BORA KWA WANAFUNZI.

    January 28, 2023
  • MAAFISA ELIMU WAAGIZWA KUSIMAMIA MATUMIZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO

    January 28, 2023
  • RC FATMA MWASSA AWAAPISHA WAKUU WA WILAYA WAWILI.

    January 27, 2023
  • REA MKOANI MOROGORO KUMCHUKULIA HATUA MKANDARASI WA KAMPUNI YA HXJDL.

    January 26, 2023
  • View All

Video

Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2020 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.