• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Mlimba
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Ugavi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

BILIONI 21.4 KUPUNGUZA ADHA YA MAJI GAIRO.

Posted on: July 24th, 2024



Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amewahakikishia wananchi wa Gairo Mkoni Morogoro kuwa Serikali itatoa fedha za ujenzi wa mradi wa Chagongwe unaogharimu shilingi Billioni 21.14 na kwamba fedha hizo zitaletwa wakati ili kuhakikisha ujenzi unaanza na unakamilika kwa muda uliopangwa  ili wananchi wa Wilaya ya Gairo wapate maji safi na salama.


Mhe. Aweso ametoa kauli hiyo Julai 23, 2024 wakati akishuhudia utiaji saini wa  Mkataba wa ujenzi wa mradi wa Chagongwe ukihusisha Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Gairo Mjini na Mkandarasi anayejulikana kama FABEC investment Ltd,  mradi huo utatekelezwa kwa kutoa maji kutoka Mto Chagongwe na kuyapeleka Gairo Mjini.


Kiongozi huyo amesema licha ya Nchi kuwa na maeneo mengi ambayo yanachangamoto ya maji lakini fedha hizo zimeletwa Wilayani Gairo ili kupunguza adha ya maji, ambapo amewahakikishia wanagairo  kuwa Serikali ya awamu ya sita itatafuta fefha hizo haraka na kumlipa Mkandarasi ili aanze kazi hiyo mapema.


"..Nataka niwahakikishie, leo tumesaini, sio tumesaini ili tuondoke, mkandarasi anatakiwa kupewa kianzio tutabana popote kuhakikisha fedha hii inatoka kwa wakati.." Amesisitiza Mhe. Aweso.


Katika hatua nyingine Mhe. Aweso amepiga marufuku kwa Mamlaka za Maji  kuwabambikia bili za maji wananchi ambazo sio sahihi, ambapo amesisitiza kulipa bili ya maji kulingana na mita inavyosoma, pia kushirikiana  na mwananchi wa mahali husika pindi msoma mita anapoenda kusoma ili kuepuka udanganyifu.


Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya maji safi na Usafi wa Mazingira  Gairo Mjini (GUWASA ) Mhandisi. Felister Joseph amesema mradi huo unaogharama Shilingi Bilioni 21.14 unatarajia kukamilika  mwaka 2026 na utahudumia wakazi wapatao 156,000 wa Kata 11 za Chagongwe, Rubeho, Msingisi, Gairo, Magoweko, Ukwamani, Mkalama, Chigela, Kibedya, Chakwale na Madege.


MWISHO.

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. May 13, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • MSEMAJI MKUU WA SERIKALI AWATAKA MAAFISA HABARI KUFANYA KAZI ZAO KIMKAKATI.

    May 26, 2025
  • MWAROBAINI WA CHANGAMOTO YA MAJI MOROGORO HII HAPA, RC MALIMA ATOA MAAGIZO.

    May 24, 2025
  • UZALISHAJI WA MAZIWA KUCHANGIA BIL. 18 KWA MWAKA MOROGORO

    May 23, 2025
  • MAAFISA HABARI TOENI UFAFANUZI DHIDI YA UPOTOSHAJI- MCHENGERWA

    May 23, 2025
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akikagua ujenzi wa jengo la ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro

    Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO

    Simu: +2550232934305

    Simu: +255766828252

    Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.