• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Mlimba
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Ugavi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

CHMT yatakiwa kusimamia ufungaji vifaa vya Hospitali. tiba

Posted on: January 26th, 2024

CHMT yatakiwa kusimamia ufungaji vifaa tiba vya hospitali.

Mkurugenzi wa Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe Ofisi ya Rais -TAMISEMI  Dkt. Rashid Mfaume ameitaka Timu ya Uendeshaji wa Huduma za Afya ya Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro (CHMT) kuhakikisha vifaa tiba vyote vilivyopelekwa katika Hospitali ya Halmashauri hiyo vinafungwa ili hospitali ianze kutoa huduma ya upasuaji kwa wananchi.

Dkt. Mfaume ametoa agizo hilo Januari 25, 2024 wakati akizungumza na CHMT watumishi wa afya wa hal shauri ya Wilaya ya Morogoro alipokuwa akikagua ujenzi na huduma zinazotolewa hospitalini hapo.

Mkurugenzi huyo amesema, hospitali imeanza kufanya kazi lakini  baadhi ya vifaa na vifaa tiba hususan vya upasuaji vilivyopelekwa havijafungwa hivyo kukosesha utoaji wz huduma muhim kwa wananchi kutokana na vifaa hivyo kutofanya kazi.

“Serikali imenunua vifaa tiba ili kuwaondolea adha wananchi wake, katika bajeti ya mwaka 2022/23 jumla ya Shilingi Milioni 550 zilitengwa kununua vifaa na vifaa tiba katika hospitali hii na mpaka sasa fedha hizo zimekwishapokelewa na kwa upande wa ununuzi wa vifaa na vifaa tiba vimenununuliwa  vyenye thamani ya Shilingi 247 hivyo ni jukumu la watumishi kushirikiana na kuhakikisha wanavifunga, wanavitumia na kuvitunza,” amesema Dkt. Mfaume.

Aidha, amewataka watumishi hao kufanya kazi  kwa uaminifu na uadilifu  huku akieleza kuwa takwimu zinaonesha wilaya hiyo ina viashiria vya upotevu mkubwa wa bidhaa za afya zikiwemo dawa hali inayopelekea Serikali kulaumiwa kwamba haipeleki dawa kwenye hospitali zake.

Naye Mganga Mkuu wa Wilaya hiyo, Dkt. Robert Manyerere amesema hospitali hiyo ni msaada kwa zaidi ya wakazi 387,736 wa Halmashauri hiyo na kwamba amepokea maagizo ya Serikali na kuahidi kuyatekeleza yeye pamoja na timu yake.


MWISHO.

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. May 13, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • MSEMAJI MKUU WA SERIKALI AWATAKA MAAFISA HABARI KUFANYA KAZI ZAO KIMKAKATI.

    May 26, 2025
  • MWAROBAINI WA CHANGAMOTO YA MAJI MOROGORO HII HAPA, RC MALIMA ATOA MAAGIZO.

    May 24, 2025
  • UZALISHAJI WA MAZIWA KUCHANGIA BIL. 18 KWA MWAKA MOROGORO

    May 23, 2025
  • MAAFISA HABARI TOENI UFAFANUZI DHIDI YA UPOTOSHAJI- MCHENGERWA

    May 23, 2025
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akikagua ujenzi wa jengo la ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro

    Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO

    Simu: +2550232934305

    Simu: +255766828252

    Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.