• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Mlimba
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Ugavi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

DARAJA DUMILA KUTOHAMISHWA, MBIONI KUIMARISHWA.

Posted on: February 22nd, 2024

Daraja la Dumila kutohamishwa, mbioni kuimarishwa.


Daraja la Dumila lililopo Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro imebainika halitahamishwa kama ilivyokuwa imepangwa hapo awali na badala yake litaimarishwa kuwa imara zaidi.


Hayo yamebainishwa na Waziri mwenye dhamana Mhe. Innocent Bashungwa wakati wa ziara yake aliyoianza Mkoani humo na kukagua daraja laDumila  ambalo mara kadhaa limekuwa tishio kwa wasafiri wa barabara ya Dar es Salaam - Dodoma na mikoa ya kaskazini kwa sababu ya daraja hilo ujaa mchanga.


Kwa mujibu wa maelezo ya Mhe. waziri, ili kutatua changamoto hiyo Serikali kupitia wataalam wa Wizara ya Ujenzi walifikia uamuzi wa kuchepusha barabara hiyo kupita eneo la juu la mto huo km 10 kutoka daraja lililopo sasa na kujenga daraja jingine.


Hata hivyo, Waziri ameagiza na watendaji wake kutochepusha barabara hiyo na daraja hilo kubaki mahali lilipo badala yake waliimarishe zaidi kwa kuwa tayari kuna uwekezaji mkubwa wa watu na Serikali katika mji wa Dumila.


Katika hatua nyingine Waziri huyo ameeleza pia namna Serikali ya awamu ya sita chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutaka kupanua barabara ya mjini morogoro kutoka Kingolwila hadi kihonda ili kuondoa changamoto ya msongamano wa magari uliopo sasa.


Kwa sababu hiyo amemwagiza Meneja wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROAD) Mkoa wa Morogoro Mhandisi Alinanuswe Kyamba kuanza kufanya tahmnini ya fedha zinazohitajika katika upanuzi wa barabara hiyo ili kuanza kutekeleza wake.


Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Ali Malima ameendelea kuwaomba watu wa Dumila kuwa wavumilivu kutokana na kadhia ya maji yanayotokana na mto kuacha njia yake na kumwaga maji kwenye  makazi ya watu na kwamba Serikalia ya awamu ya sita iko mbioni kushughulikia changamoto yao.


Hivyo ameendelea kumwomba Waziri wa Ujenzi wakishirikiana na Wizara ya Kilimo kuona uwezekano wa kujengwa mabwawa juu ya mto huo ili kupunguza kasi ya maji hayo na kutumika kwenye kilimo na shughuli nyingine za kibinadamu.


MWISHO

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. May 13, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • MSEMAJI MKUU WA SERIKALI AWATAKA MAAFISA HABARI KUFANYA KAZI ZAO KIMKAKATI.

    May 26, 2025
  • MWAROBAINI WA CHANGAMOTO YA MAJI MOROGORO HII HAPA, RC MALIMA ATOA MAAGIZO.

    May 24, 2025
  • UZALISHAJI WA MAZIWA KUCHANGIA BIL. 18 KWA MWAKA MOROGORO

    May 23, 2025
  • MAAFISA HABARI TOENI UFAFANUZI DHIDI YA UPOTOSHAJI- MCHENGERWA

    May 23, 2025
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akikagua ujenzi wa jengo la ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro

    Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO

    Simu: +2550232934305

    Simu: +255766828252

    Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.