• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Mlimba
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Ugavi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

DC MOROGORO AWATAKA WANAMOROGORO KUSHIRIKI UZINDUZI WA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WA MAMA SAMIA.

Posted on: December 12th, 2024



Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mhe. Mussa Kilakala ametoa wito kwa wananchi wa Mkoa wa Morogoro kushiriki Uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal AID Campaign, yenye lengo la kulinda na kukuza upatikanaji wa haki kwa wote kupitia huduma ya msaada wa kisheria nchini.

ambayo  itachangia kuimarisha Amani na utulivu, kuongeza kipato cha mtu mmoja mmoja  na kuleta utengamano wa kitaifa kupitia huduma za msaada wa kisheria nchini.

Wito huo umetolewa leo Disemba 12 na Mkuu huyo wa Wilaya kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Adam Malima wakati akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake na kuweka bayana kuwa uzinduzi wa kampeni hiyo itazinduliwa rasmi kesho Disemba 13, 2024 katika viwanja vya stendi ya zamani ya daladala iliyopo katika Manispaa ya Morogoro kuanzia kuanzia saa 2:00 asubuhi, huku mgeni rasmi akiwa ni Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro.

Mhe. Kilakala amesema, kampeni hiyo inatekelezwa na Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Katiba na Sheria ikiwa na lengo la kuongeza uelewa wa sheria na upatikanaji wa haki, mifumo ya utoaji haki, kuweka mazingira wezeshi yakulinda na kukuza haki ya upatikanaji haki kupitia huduma za msaada wa kisheria nchini.

"..naomba kutoa wito kwa wananchi wote wa Mkoa wa Morogoro kushiriki uzinduzi  huo ili kupata Elimu ya msaada wa kisheria tuweze kuzitatua kero na migogoro iliyopo bila ya malipo yoyote.." Amesisitiza Mhe. Mussa Kilakala.


Aidha, amesema mara baada ya uzinduzi wa kampeni hiyo  kukamilika, utekelezaji utaendelea katika Halmashauri zote 9 za Mkoa wa Morogoro na kila Halmashauri itafikiwa na huduma hiyo ndani ya Kata 10 na Vijiji 30  hivyo amewasisitiza wananchi kushiriki kwa wingi katika kampeni hizo katika kata zao ni vijiji au mitaa yao, lengo likiwa ni kukamilisha ndoto za Rais Samia  Suluhu Hassan ya kutaka kuwapatia haki ya msingi wananchi walio wanyonge.


Kampeni hiyo katika Mkoa wa Morogoro ambayo imejikita katika kuto elimu ya masuala ya kisheri itafanyika ndani ya siku 9 kuanzia Disemba 13, 2024 siku ya uzinduzi na inatarajia kutamatika Disemba 22, 2024.


MWISHO.

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. May 13, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • MSEMAJI MKUU WA SERIKALI AWATAKA MAAFISA HABARI KUFANYA KAZI ZAO KIMKAKATI.

    May 26, 2025
  • MWAROBAINI WA CHANGAMOTO YA MAJI MOROGORO HII HAPA, RC MALIMA ATOA MAAGIZO.

    May 24, 2025
  • UZALISHAJI WA MAZIWA KUCHANGIA BIL. 18 KWA MWAKA MOROGORO

    May 23, 2025
  • MAAFISA HABARI TOENI UFAFANUZI DHIDI YA UPOTOSHAJI- MCHENGERWA

    May 23, 2025
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akikagua ujenzi wa jengo la ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro

    Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO

    Simu: +2550232934305

    Simu: +255766828252

    Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.