• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Mlimba
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Ugavi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

Halmashauri zatakiwa kukamilisha miradi ya maendeleo kwa wakati.

Posted on: December 20th, 2024


Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima amewataka Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri zote za Mkoa wa huo kuhakikisha wanasimamia na kukamilisha kwa wakati miradi yote ya maendeleo ikiwemo ya Afya, Elimu , Barabara, maji  na kuhakikisha wanasimamia vema suala la Lishe bora katika maeneo yao.

Adam Malima ametoa maagizo hayo Disemba 19, 2024 wakati akipokea taarifa ya Mradi Endelevu wa  Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini ( SRWSSP) na  taarifa ya Utekelezaji wa Shughuli za Lishe kwa Robo ya Kwanza Julai - Septemba katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya  Mkuu wa Mkoa huo.

Aidha, amewataka Viongozi hao kuhakikisha wanakabiliana na magonjwa ya Mlipuko kama kipindupindu na kwamba maeneo yaliyothibitika yana ugonjwa wa Mlipuko watumie njia zote zinazoelekezwa na wataalam kuhakikisha wanatokomeza Ugonjwa huo  ikiwemo njia ya kutoa Elimu kwa Wananchi  namna ya kujikinga na kuchukua tahadhari ya magonjwa huo.


Kwa upande wake Katibu Tawala wa Mkoa Wa Morogoro Dkt. Mussa Ali Mussa amewataka viongozi hao kuhakikisha chakula kinachotolewa mashuleni kina kidhi haja kwa kufuata makundi yote ya chakula Bora na amewataka Wakuu wa Wilaya zote kuhakikisha wanasimamia Ulinzi na Usalama  kwa kipindi hiki cha kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka.

MWISHO.

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. May 13, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • MSEMAJI MKUU WA SERIKALI AWATAKA MAAFISA HABARI KUFANYA KAZI ZAO KIMKAKATI.

    May 26, 2025
  • MWAROBAINI WA CHANGAMOTO YA MAJI MOROGORO HII HAPA, RC MALIMA ATOA MAAGIZO.

    May 24, 2025
  • UZALISHAJI WA MAZIWA KUCHANGIA BIL. 18 KWA MWAKA MOROGORO

    May 23, 2025
  • MAAFISA HABARI TOENI UFAFANUZI DHIDI YA UPOTOSHAJI- MCHENGERWA

    May 23, 2025
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akikagua ujenzi wa jengo la ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro

    Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO

    Simu: +2550232934305

    Simu: +255766828252

    Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.