Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Wajumbe wa Menejimenti ya Mkoa, watumishi Wote wa Serikali Mkoani Morogoro pamoja na wananchi wote wa Mkoa huo kwa jumla, wanaungana kumpongeza Bi. Mariam Amri Mtunguja kwa kuendelea kuaminiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na kumteua kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro.
HONGERA SANA NA KARIBU MOROGORO
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro
Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO
Simu: +2550232934305
Simu: +255766828252
Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz
Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.