• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Mlimba
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Ugavi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE AWAASA WANAMOROGORO KUTUNZA MAZINGIRA.

Posted on: April 20th, 2024

KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE AWAASA WANAMOROGORO KUTUNZA MAZINGIRA.


Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa 2024 Godfrey Mnzava  amewataka wananchi wa Mkoa huo kutunza mazingira ili kuepukana na athari zinazotokana na mabadiliko ya tabia ya Nchi.


Kiongozi huyo wa mbio za Mwenge Kitaifa ametoa wito huo Aprili 20, 2024  siku ya kwanza tu baada ya mbio za Mwenge huo kuanza kukimbizwa Wilayani Mvomero Mkoani Morogoro wakati wa kuona mradi wa utunzaji wa Mazingira (ECO) school unaotekelezwa  na shule ya msingi Manyinga iliyopo Wilaya humo.

Ndg. Mnzava amesema kama yalivyomataifa mengine yanapitia katika changamoto ya uharibifu wa mazingira ikiwemo ukataji ama miti, kuchoma mkaa, shughuli za viwanda amabavyo havizingatii utunzaji wa mazingira, kilimo kisichozingatia taratibu na shughuli za ufugaji holela ambapo  kupelekea   mabadiliko ya tabia ya nchi.


 "Lipo jukumu kubwa sana na umuhimu mkubwa sana wa kuendelea kuhakikisha kwamba tunatunza  mazingira yetu ili yaweze kutufaidiaha sisi wenyewe Sisi na vizazi vijavyo" amesema  kiongozi huyo.


Kwa upande wake Jenifa Solomoni Mwanafunzi wa  Shule ya Msingi Manyinga  akiwa ni balozi wa  mradi wa utunzaji wa Mazingira (ECO school) amesema kupitia mradi huo, wanatoa elimu katika jamii hasa elimu ya uchumi mzunguko.

Mwenge wa uhuru kesho Aprili 21, 2024 utaendelea kukimbizwa katika Wilaya ya Gairo Mkoani Morogoro ikiwa ni siku yake ya pili tangu kukabidhiwa ukitokea Mkoa wa Tanga.



MWISHO


Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. May 13, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • MSEMAJI MKUU WA SERIKALI AWATAKA MAAFISA HABARI KUFANYA KAZI ZAO KIMKAKATI.

    May 26, 2025
  • MWAROBAINI WA CHANGAMOTO YA MAJI MOROGORO HII HAPA, RC MALIMA ATOA MAAGIZO.

    May 24, 2025
  • UZALISHAJI WA MAZIWA KUCHANGIA BIL. 18 KWA MWAKA MOROGORO

    May 23, 2025
  • MAAFISA HABARI TOENI UFAFANUZI DHIDI YA UPOTOSHAJI- MCHENGERWA

    May 23, 2025
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akikagua ujenzi wa jengo la ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro

    Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO

    Simu: +2550232934305

    Simu: +255766828252

    Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.