• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Mlimba
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Ugavi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

Rais Samia Suluhu Hassan auhakikishia uongozi wa kiwanda cha sigara ushirikiano.

Posted on: August 6th, 2024


Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema  Serikali itatoa ushirikiano wa kutosha katika kukamilisha ujenzi wa kiwanda kipya cha Serengeti Sigarate Company limited ambacho kitapunguza changamoto ya ajira kwa vijana hapa nchini.

Dkt. Samia amesema hayo Agosti 6, 2024 wakati wa kuweka jiwe la msingi kiwanda hicha cha sigara kilichopo Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro.

Mhe. Rais amesema kiwanda cha Mkwawa leaf kimesaidia kupunguza uhaba wa ajira kwa vijana, ambapo kimezalisha zaidi ya ajira  7000 na pindi kiwanda cha Serengeti Cigarate company cha sigara kitakapokamilika kitazalisha ajira 12000.

"..nawahakikishie  ushirikiano mkubwa katika kujenga kiwanda hiki.." amesisitiza Dkt. Samia

Aidha Dkt. Samia ameagiza viongozi wa Serikali  kusimamia wakulima wa zao la tumbaku ili kuwatia moyo wakulima hayo na kuongeza uzajishaji huju akiutaka uongozi wa kiwanda hicho kuunga mkono kwenye kampeni ya nishati safi ya kupikia kwa lengo la kutunza mazingira kwa maendeleo ya Taifa.

Katika hatua nyingine Dkt. Samia ameitaka taasisi hiyo binafsi kuunga mkono programu ya  bima ya Afya kwa wote ambayo itaenda kuwasaidia waajiriwa wa kiwanda hicho kupata huduma za afya kwa urahisi kupitia bima hiyo pindi watakapopata matatizo ya kiafya.

Kwa upande wake Mkuu wa mkoa wa Morogoro Mhe. Adam  Kighoma malima amesema zao la tumbaku ni miongoni mwa mazao ya kimkakati katika Mkoa huo hasa katika Wilaya za Gairo na Kilosa, hivyo kupitia uzalishaji wa zao hilo unaenda kuongeza upatikanaji wa malighafi hiyo kwa ajili ya kulisha kiwanda hicho.


MWISHO.

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. May 13, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • MSEMAJI MKUU WA SERIKALI AWATAKA MAAFISA HABARI KUFANYA KAZI ZAO KIMKAKATI.

    May 26, 2025
  • MWAROBAINI WA CHANGAMOTO YA MAJI MOROGORO HII HAPA, RC MALIMA ATOA MAAGIZO.

    May 24, 2025
  • UZALISHAJI WA MAZIWA KUCHANGIA BIL. 18 KWA MWAKA MOROGORO

    May 23, 2025
  • MAAFISA HABARI TOENI UFAFANUZI DHIDI YA UPOTOSHAJI- MCHENGERWA

    May 23, 2025
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akikagua ujenzi wa jengo la ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro

    Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO

    Simu: +2550232934305

    Simu: +255766828252

    Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.