• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Mlimba
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Ugavi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

RC Fatma Mwassa aahidi kuendeleza Michezo Morogoro

Posted on: August 23rd, 2022

RC Fatma Mwassa aahidi kuendeleza michezo Morogoro.

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Fatma Mwassa amesema Ofisi yake ipo tayari kuendeleza michezo mbalimbali katika Mkoa huo kwa sababu ya ukweli kuwa michezo ni afya lakini pia michezi ni ajira.

Fatma Mwassa amesema hayo Agosti 22 mwaka huu wakati akikabidhiwa makombe ya ushindi kwa vijana walioshiriki michezo ya UMITASHUMTA na UMISETA na kufanya vizuri hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo.

Akifafanua zaidi Mkuu huyo wa Mkoa amehaidi kuendeleza vipaji kwa vijana hususani kwenye mcheo mbalimbali ikiwemo ya mpira wa miguu handball na Goalball pamoja na michezo mingine akiamini kuwa kupitia michezo hiyo vijana wanaweza kujiajiri.

Kwa upande wake Mkuu wa WIlaya ya Kilosa Majid Mwanga amewapongeza vijana walioshiriki mashindanao hayo hususani wenye mahitaji maalumu kwa kufanya vizuri zaidi kushika nafasi ya kwanza ya mchezo wa Goalball huku akiwahakikishia kuwapa msaada wa hali na mali kwenye mashindano yajayo ya AFcon.

Akitoa taarifa ya mashindano hayo mbele ya Mkuu wa Mkoa Katibu Tawala Msaidizi ambaye pia ni Afisa Elimu wa Mkoa wa Morogoro Bi. Germana Mung’aho amesema timu ya Mkoa wa Morogoro kwa upande wa UMISSETA imefanikiwa kupata makombe 5 na kuwa mshindi wa 5 Kitaifa na kwa upande wa UMITASHUMTA Mkoa umefanikiwa kupata jumla ya makombe 4 na medali 3 na kuwa mshindi wa 5 Kitaifa. Hivyo Mkoa wa Morogoro kwa ujumla umefanikiwa kupata makombe 9 na medali 3 kwa mashindano hayo ya UMISETA NA UMITASHUMTA

MWISHO

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. May 13, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • MSEMAJI MKUU WA SERIKALI AWATAKA MAAFISA HABARI KUFANYA KAZI ZAO KIMKAKATI.

    May 26, 2025
  • MWAROBAINI WA CHANGAMOTO YA MAJI MOROGORO HII HAPA, RC MALIMA ATOA MAAGIZO.

    May 24, 2025
  • UZALISHAJI WA MAZIWA KUCHANGIA BIL. 18 KWA MWAKA MOROGORO

    May 23, 2025
  • MAAFISA HABARI TOENI UFAFANUZI DHIDI YA UPOTOSHAJI- MCHENGERWA

    May 23, 2025
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akikagua ujenzi wa jengo la ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro

    Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO

    Simu: +2550232934305

    Simu: +255766828252

    Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.