• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Mlimba
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Ugavi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

RC MALIMA ASISITIZA UMOJA KWA WANAWAKE WA DINI YA KIISLAM, AKEMEA TABIA CHAFU.

Posted on: July 14th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam kighoma Ali Malima amewataka wanawake wa Kiislam Mkoa wa Morogoro kuwa na umoja na ushirikiano baina yao katika kukemea na kutokomeza tabia chafu zinazoletwa na kuigwana baadhi ya watanzania na kisha kuharibu jamii.

Mhe. Malima ameitoa kauli hiyo leo Julai 14, 2024 wakati  akihutubia  Baraza la Wanawake la Waislamu 2023/2024 lililofanyika katika Msikiti wa Bomaroad uliopo Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro.

Kiongozi huyo amesema licha ya uwepo wa uvunjifu wa Mila na desturi za kitanzania bado kuna uwepo wa tabia chafu na zisizofaa ndani ya jamii yetu zikiwemo ndoa za jinsia Moja yaani ushoga na usagaji.

Kwa sababu hiyo Mhe. Adam Kighoma Malima amewataka akinamama hao kuwa na umoja na ushirikiano baina yao kwa sababu wao ni nguzo muhimu katika Jamii katika kufanikisha vita ya  kutokomeza vitendo hivyo vichafu katika jamii ya watanzania.

"..Nakuombeni mama zangu, myaangalie haya,  mkawe wapiganaji namba Moja kuitetea hii jamii juu ya vitendo viovu..." Amesisitiza Mhe. Malima

Aidha, amewaasa akina mama hao wa kiislamu kuwa na utaratibu wa  kuwafuatilia watoto ili kujua mienendo yao na kuepuka watoto hao kuharibika kwa kuiga tabia hizo zisizofaa hususan la kuingiliana kinyume na maumbile wanaume kwa wanaume -Ushoga na Usagaji kwa wanawake.

Katika hatua nyingine amemshuruku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutoa fedha za asilimia 10 kwa ajili ya mikopo ya vijana,wanawake na makundi maalum na kuwataka  akina mama hao wa kiilsamu na akinamama wengine wasio wa kiislam kuchangamkia fursa hiyo na kutengeneza  vikundi vyao  vya kina  mama na kukopa fedha hizo kwa ajili ya kufanya biashara zao ili kujikimu Kimaisha na kuacha kukopa mikopo isiyo na faida na inayoumiza maarufu kama "kusha damu".


Kwa upande wake Katibu wa Baraza la Wanawake  la Wailsam Manispaa ya Morogoro  Bi. Amina Hussein ameeleza changamoto zinazo kwamisha utekelezaji wa kazi  katika baraza lao zikiwemo ukosefu wa compyuta, printer,  photocopy mashine, pamoja na mikopo ya kausha damu.

Naye Bi. Mwazani Mussa Mwenyekiti wa wanawake Waislam Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro amesema katika kupambana na matendo mabaya katika jamii wanaendelea kutoa elimu mashuleni na misikitini kwa watoto na wanawake wote ili kuhakikisha vitendo hivyo vinatokomezwa.

Hata hivyo mwenyekiti huyo amewataka wanawake kuwa karibu na familia zao hasa kwa watoto wao ili kujua maendeleo yao lakini pia kutobweteka katika kufanya kazi badala yake wafanye kazi zikiwemo za ujasiriamali ili kuweza kuongeza kipato chao na familia zao kwa ujumla.


MWISH

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. May 13, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • MSEMAJI MKUU WA SERIKALI AWATAKA MAAFISA HABARI KUFANYA KAZI ZAO KIMKAKATI.

    May 26, 2025
  • MWAROBAINI WA CHANGAMOTO YA MAJI MOROGORO HII HAPA, RC MALIMA ATOA MAAGIZO.

    May 24, 2025
  • UZALISHAJI WA MAZIWA KUCHANGIA BIL. 18 KWA MWAKA MOROGORO

    May 23, 2025
  • MAAFISA HABARI TOENI UFAFANUZI DHIDI YA UPOTOSHAJI- MCHENGERWA

    May 23, 2025
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akikagua ujenzi wa jengo la ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro

    Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO

    Simu: +2550232934305

    Simu: +255766828252

    Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.