• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Mlimba
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Ugavi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

RC MALIMA ATAKA CHUO HURIA - MOROGORO KUWA CHUO CHA MFANO.

Posted on: February 10th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Morgoro Mhe.Adam Kighoma Malima amesema wajumbe wa baraza la ushauri la chuo huria kituo cha Morogoro wanataka kukiendeleza Kituo hicho kuwa  cha mfano hapa nchini kwa kukiendeleza na masomo katika ngazi za shahada, stashahada, na astashahada za fani mbalimbali.

Mhe. Malima amesema hayo Februari 10 mwaka huu alipotembelea na kufanya kikao cha baraza la ushauri katika chuo hicho cha Huria kituo cha Morogoro kilichopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro.

Aidha, ameshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha ambazo zitasaidia ujenzi wa  maabara pamoja na madarasa ya ziada yatakayosaidia kubeba wanafunzi wengi na kuondoa changamoto wakati wanachuo wanafanya mitiani.

“….. Sisi kama baraza la ushauri lazima tujikite kwa ajili ya kukifanya hiki kituo chetu cha Morogoro kiwe ni kituo cha mfano kwa vituo vyote vya Tanzania nzima…” amesema Adam Malima.

Katika hatua nyingine Mkuu huyo wa Mkoa amefarijika kuona idadi kubwa ya wanafunzi wakijiandikisha katika chuo kikuu hicho huria kituo cha Morogoro wakiwemo walimu wa shule ya msingi.

Kwa sababu hiyo, Mkuu huyo wa Mkoa amejitolea kugharamia usajili wa walimu 30 wanaojisajiri katika chuo hicho kwa kuwalipia shilingi 200,000 kila mmoja kwa walimu wale  wa kwanza watakao jiandikisha katika ngazi ya astashahada ya uwalimu.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro Bw. Ally Machela amewataka Watumishi wa Serikali hasa kada ya ualimu kuchangamkia fusa hiyo ili kuweza kujiendeleza hali itakayosaidia walimu hao kuongeza maarifa katika utendaji wao wa kazi.

Naye Mhadhiri wa chuo kikuu Tanzania kituo cha Morogoro Dkt. Wambuka Rangi amesema chuo hicho kinakumbana na changamoto ya technolojia, ambapo wanashindwa kuwapata wananfunzi wanapo fundisha kwa njia ya mtandao (video conference) kwa sababu baadhi ya yao wanatoka maeneo yenye kunachangamoto ya mtandao (internet).

Dkt. Rangi ameongeza kuwa chuo hicho kinatoa elimu za aina tofauti tofauti kwa ngazi mbalimbali zikiwa za muda mfupi na za muda mrefu lengo likiwa ni kuhakikisha wanatoa elimu kwa kila mtu na kwa kila kundi kulingana na uhitaji wake.

MWISHO

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. May 13, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • MSEMAJI MKUU WA SERIKALI AWATAKA MAAFISA HABARI KUFANYA KAZI ZAO KIMKAKATI.

    May 26, 2025
  • MWAROBAINI WA CHANGAMOTO YA MAJI MOROGORO HII HAPA, RC MALIMA ATOA MAAGIZO.

    May 24, 2025
  • UZALISHAJI WA MAZIWA KUCHANGIA BIL. 18 KWA MWAKA MOROGORO

    May 23, 2025
  • MAAFISA HABARI TOENI UFAFANUZI DHIDI YA UPOTOSHAJI- MCHENGERWA

    May 23, 2025
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akikagua ujenzi wa jengo la ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro

    Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO

    Simu: +2550232934305

    Simu: +255766828252

    Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.