• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Mlimba
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Ugavi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

RC Malima aweka mikakati kulinusuru Pori la akiba la Kilombero.

Posted on: January 20th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima ameendelea na ziara yake Wilaya za Kilombro, Malinyi na Ulanga pamoja na mambo mengine ya kusikikiza kero za wananch ziara hiyo ina lengo la kunusuru Pori la akiba la Kilombero kwa kuzuia uharibifu unaoendelea kupitia shughuli za kibinadam ili kuliwezesha bwawa la Mwalimu Nyerere kupata maji ya kutosha.

Akiwa katika kata ya Wilayani Malinyi  January 19, 2024 Mhe. Malima ameongea na wananchi waKijiji hicho na kuwapa uelewa wa namna ya kutunza mazingira katika pori hilo ili kuruhusu upatikanaji wa maji ya kujaza maji katika bwawa la Mwalimu Nyerere kwa ajili ya kuzalisha umeme utakaotumika kwa maendeleo ya  Tanzania nzima.

“…… hili jambo tunalolifanya hapa ni kwa ajili ya kuinusuru maslai mapana ya Tanzania nzima..” amesema Mhe. Adam Malima.

Pia Mhe. Malima ametembelea mto Mnywela na kujionea adha ambayo wananchi  wanakumbana nayo hasa kipindi cha Masika hususa ubovu wa miundombinu kama Barabara, na upungufu wa vivuko vya kuvusha wananchi kutoka upande mmoja hadi upande wa pili.

Hata ivyo amesema katika Kijiji cha Mombwe kuna mifugo mingi sana ambayo inapelekea uharibifu wa mazingira katika mto mnywela hivyo kuna mpango wa kuwahamisha haraka ili kunusuru uharibifu wa mito ya eneo hilo ambayo inapeleka maji katika bwawa la Mwalimu Nyerere kwa ajili ya uzalishaji wa umeme.

Kwa upande wake Kamishana msaidizi mwandamizi Joas Makwati ambae ni kamanda wa hifadhi nyanda za juu kusini amesema kazi ambayo imefanywa na serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyama Pori Tanzania (TAWA) ni kuhifadhi, kulinda na kusimamia Bonde la akiba la Kilombero ili kuhakikisha mtiririko wa yanayokwenda katika bwawa hilo unalindwa.

Aidha, amesema, hadi sasa wameweza kudhibiti shughuli za kijamii hususan ufugaji na kilimo zinazofanyika katika eneo la hifadhi nje na ndani kufikia asilimia 88 hii ni kutokana na Serikali kuongeza Askari, boti Pamoja na magari.

Naye Kaimu Kamishna Msaidizi Ulinzi wa Wanyama pori Alfonce Ambroce amesema katika pori hilo la Kilombero ulinzi umeongezeka na wananchi wameshaanza kuondoka kwa hiari eneo hilo la hifadhi baada ya kupata uelewa wa kutosha kuhusu faida ya pori hilo.

Pia ametoa wito kwa wanchi ambao bado hawajaanza kuchukua maamuzi ya kuondoka katika eneo la hifadhi waanze mara moja kwa sababu Serikali imedhamiria kuhakikisha kwamba eneo la hifadhi la Pori la akiba Kilombero linatuzwa.


MWISHO.

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. May 13, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • MSEMAJI MKUU WA SERIKALI AWATAKA MAAFISA HABARI KUFANYA KAZI ZAO KIMKAKATI.

    May 26, 2025
  • MWAROBAINI WA CHANGAMOTO YA MAJI MOROGORO HII HAPA, RC MALIMA ATOA MAAGIZO.

    May 24, 2025
  • UZALISHAJI WA MAZIWA KUCHANGIA BIL. 18 KWA MWAKA MOROGORO

    May 23, 2025
  • MAAFISA HABARI TOENI UFAFANUZI DHIDI YA UPOTOSHAJI- MCHENGERWA

    May 23, 2025
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akikagua ujenzi wa jengo la ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro

    Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO

    Simu: +2550232934305

    Simu: +255766828252

    Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.