• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Mlimba
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Ugavi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

RC Shigela atoa pole Mwenezi CCM Malinyi Kuondokewa na kaka yake

Posted on: June 14th, 2022

RC SHIGELA ATOA POLE KWA MSIBA

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Martine Shigela leo Juni 14, 2022 ameitembelea familia ya ndugu Koni Ligugu ambaye ni Katibu mwenezi wa chama Tawala cha CCM Wilaya ya Malinyi aliyeondokewa na kaka yake Evodi Ligugu aliyefariki dunia Juni 11, mwaka huu na kuzikwa  Juni 13 2022.

RC Shigela akiwafariji na kutoa neno la pole wafiwa


Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Martine Shigela akiwafaraji wafiwa 

Martine Shigela akiwa katika ziara yake ya siku tatu Wilayani Malinyi kwa lengo la kuona utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kutatua kero za wananchi  katika Wilaya hiyo amelazimika kukatisha ziara yake na kwenda kutoa pole na ubani kwa Koni Ligugu na familia yake kwa kuondokewa na kipenzi wao Evodi Ligugu

Mkuu wa Mkoa akimfariji mfiwa Bw. Koni Ligugu kushoto (Katibu mweneza wa CCM Malinyi)aliyefiwa na kaka yake Evodi Ligugu

Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Mathayo Maselle (kushoto) pamoja mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya hiyo Mhe. Pius Mwelase(kulia) waliambatana na Mhe. Mkuu wa MKoa kutoa pole kwenye msiba huo. wa pili kulia ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro Fortunatus Muslim 


RC Shigela(katikati)  akiwa pamoja na Mwenyekiti wa chama cha CCM Wilaya ya Malinyi Mhe. Peter Mkanigalo wakimfariji Mfiwa


Aidha, Shigela ametoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki kwa kuondokewa na kipenzi chao   Evodi huku akiwataka wawe na utulivu, subira na ustahimilivu katika kipindi hiki kigumu kwao na kwamba kilichobaki kwao ni kumwombea marehemu ili aweze kupumzika kwa Amani huko aliko.

Katibu wa CCM Wilaya ya Malinyi Abdulrahim Hamid akimkaribisha Mkuu wa Mkoa kusalimia na kuifariji familia ya Koni 


Familia ya Bw. Koni wakiwa pamoja kwenye msiba

Katibu Mwenezi Koni Ligugu akitoa shukrani zake kwa Mkuu wa MKoa

Mkuu wa Mkoa Martine Shigela akionekana akitoa mkono wa pole kwa Katibu Mwenezi wa CCM Wilaya ya Malinyi Koni Ligugu aliyefiwa na kaka yake hivi karibuni 

Bwani ametoa, bwana ametwaa, jina lake na Bwana lihimidiwe - AMINA


MWISHO

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. May 13, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • MSEMAJI MKUU WA SERIKALI AWATAKA MAAFISA HABARI KUFANYA KAZI ZAO KIMKAKATI.

    May 26, 2025
  • MWAROBAINI WA CHANGAMOTO YA MAJI MOROGORO HII HAPA, RC MALIMA ATOA MAAGIZO.

    May 24, 2025
  • UZALISHAJI WA MAZIWA KUCHANGIA BIL. 18 KWA MWAKA MOROGORO

    May 23, 2025
  • MAAFISA HABARI TOENI UFAFANUZI DHIDI YA UPOTOSHAJI- MCHENGERWA

    May 23, 2025
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akikagua ujenzi wa jengo la ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro

    Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO

    Simu: +2550232934305

    Simu: +255766828252

    Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.