• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Mlimba
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Ugavi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

WAZIRI AWESO ATAKA BWAWA LA MINDU LITUNZWE.

Posted on: July 23rd, 2024


Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ameagiza  Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira mkoani Morogoro (MORUWASA) na Bodi ya maji, Bonde la Wami Ruvu kuhakikisha wanashirikiana kuondoa majani yaljyoota juu ya maji katika bwawa la mindu ambalo linategemewa na wakazi wa manispaa ya morogoro kwa ajili ya maji na shughuli nyingine za kijamii.

Waziri Aweso ametoa agizo hilo Julai 23, 2024 wakati wa ziara yake ya kikazi ya siku moja ambapo alitembelea bwawa hilo lililopo kayika Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro mkoani humo ambapo pia katika ziara hiyo ametembelea Wilaya ya Gairo.  

".. Hili bwawa ndio roho ya wanamorogoro, ukisikia roho ya wanamorogoro ni hili bwawa la mindu.."

Mhe. Aweso Amesema, kutokana na majani hayo yaliyota juu ya maji, inaonesha kutokuwa na usimamizi mzuri wa utunzaji wa mazingira ya bwawa hilo hivyo amezitaka mamlaka husika kuhakikisha bwawa hilo linafanyiwa usafi mara kwa mara ili kuepuka majani kuendelea kuota juu ya maji.

Pia Waziri huyo mwenye dhamana ya maji amesema katika bwawa hilo kuna uwepo wa makazi ya watu hivyo ametaka kushirikiana na viongozi eneo hilo kwa kuwaondoa wakazi wote waliojenga karibu na bwawa hilo huku akibainisha kuwa wakazi ambao nyumba zao zimefanyiwa tathmini watalipwa fidia.

Aidha Mhe. Aweso ametoa agizo kwa viongozi wa Wizara hiyo ndani ya wiki moja kutafuta gari na kuwapatia wataalam wanaosimamiz Ubora wa mai kutoka Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira  Morogoro ( MORUWASA) ili kuwezesha wataalam hao kufika katika miradi ya maendeleo hususan ya Maji kwa urahisi na kuweza kutoa huduma ya Maji safi kwa wananchi.


Katika hatua nyingine, Mhe. Aweso ametoa wito kwa viongozi wa MORUWASA kutokaaa maofisini wakati wa kazi badala yake waende kwenye miradi ya maendeleo kukagua miradi hiyo ili kuweka msukumo wa kukamilika kwa mirad8 hiyo kwa wakati na ubora unaotakiwa.


MWISHO.

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. May 13, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • MSEMAJI MKUU WA SERIKALI AWATAKA MAAFISA HABARI KUFANYA KAZI ZAO KIMKAKATI.

    May 26, 2025
  • MWAROBAINI WA CHANGAMOTO YA MAJI MOROGORO HII HAPA, RC MALIMA ATOA MAAGIZO.

    May 24, 2025
  • UZALISHAJI WA MAZIWA KUCHANGIA BIL. 18 KWA MWAKA MOROGORO

    May 23, 2025
  • MAAFISA HABARI TOENI UFAFANUZI DHIDI YA UPOTOSHAJI- MCHENGERWA

    May 23, 2025
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akikagua ujenzi wa jengo la ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro

    Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO

    Simu: +2550232934305

    Simu: +255766828252

    Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.