Posted on: July 2nd, 2025
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Mwajuma Waziri amesema, Wizara hiyo imedhamiria kutatua changamoto ya muda mrefu ya uhaba wa maji katika Manispaa ya Morogoro, kazi ambayo amesema itafanyika kw...
Posted on: June 28th, 2025
Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro, Alhaji Dkt. Mussa Ali Mussa, amewataka watumishi wa umma mkoani humo kuwajibika na kuwa waaminifu katika kujaza mfumo wa mwongozo wa utekelezaji wa usimamiz...
Posted on: June 27th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Adam Kighoma Malima, amemshauri Mkuu mpya wa Wilaya ya Mvomero, Maulid Hassan Dotto kufanya kazi zake kwa kutumia busara zaidi badala ya kutumia mabavu...