Posted on: November 9th, 2020
Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro Mhandisi Emmanuel Kalobelo amewasilisha ombi Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto la kuomba kuongezewa Maafisa Ustawi wa Jamii katika Mkoa huo ...
Posted on: November 3rd, 2020
Na Andrew Chimesela, Morogoro.
Mwanamasumbwi wa kimataifa Twaha Kiduku ametaja siri ya ushindi na mafanikio yake kuwa ni Morali aliyopewa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata ole Sanare...
Posted on: November 3rd, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Ole Sanare amepiga marufuku kufanya maandamano yoyote ndani ya Mkoa huo yenye lengo la kupinga matokeo ya uchaguzi Mkuu wa Tanzania yaliyotangazwa na Tume ya Taifa...