Posted on: January 25th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Fatma Mwassa amesema Serikali ya Mkoa wa Morogoro imeweka nguvu kubwa katika kuinua sekta ya kilimo hususani kilimo cha viungo kama vile hiriki, karafuu na mdalasini leng...
Posted on: January 24th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Fatma Mwassa amesema wazazi wote ambao hawajawapeleka shule watoto waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza, darasa la kwanza pamoja na awali watachukuliwa hatua kali...
Posted on: January 20th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Fatma Abubakar Mwassa amewataka Wakala wa misitu Tanzania (TFS) Wilaya ya Kilombero kusitisha mara moja utoaji wa vibali vya kukata miti ili kunusuru dakio la maji la mto...