• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Mlimba
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Ugavi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

Elimu

TAARIFA ZA ELIMU

Mkoa una jumla ya shule za Msingi 1,056, kati ya hizo shule 943 ni za Serikali na 113 ni za Binafsi.  Shule za Sekondari ni 318 zikiwemo 249 za Serikali na 69 za Binafsi.

Mkoa una jumla ya Vyuo Vikuu 4 (Vinne) vikiwemo vya Serikali na binafsi.  Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Chuo Kikuu Mzumbe, Chuo Kikuu cha Kiislam Morogoro na Chuo Kikuu cha Jordan. Pia vipo Vyuo vya Ualimu Ngazi ya Stashahada vilivyopo Dakawa na Morogoro na ngazi ya Astashahada vilivyopo Mhonda na Ilonga. Vipo Vyuo vya Ufundi Stadi 12 vikiwemo 9 vya Serikali na 3 vya Binafsi na Vyuo vya Ufundi  vya VETA 4 (Vinne).

Idadi ya shule za msingi kwa kila halmashauri kwa mwaka 2024 ni kama ilivyo katika jedewali lifuatalo

Jedwali Na.1.Idadi ya Shule za Msingi  Zenye Usajili kwa  Mwaka 2024


Na.

Halmashauri

Shule za Serikali

Shule zisizo za Serikali

Jumla

1
MLIMBA

99

8

107

2
KILOSA

178

11

189

3
MOROGORO MC

75

48

123

4
MOROGORO DC

164

6

170

5
ULANGA

70

7

77

6
MVOMERO

154

9

163

7
GAIRO

74

4

78

8
MALINYI

44

3

47

9
IFAKARA MJI

85

17

102

 
JUMLA

943

113

1056



Idadi ya shule za sekondari kwa kila halmashauri kwa mwaka 2024 ni kama inavyoonekena katika jedwali lifuatalo:-

Jedwali  Idadi ya Shule za Sekondari Zenye  Usajili kwa  Mwaka 2024 

 

Na.

Halmashauri

Shule za Serikali

Shule zisizo za Serikali

Jumla

1

MLIMBA

26

6

32

2

KILOSA

45

3

48

3

MOROGORO MC

30

28

58

4

MOROGORO DC

36

2

38

5

ULANGA

20

6

26

6

MVOMERO

33

3

36

7

GAIRO

18

0

18

8

MALINYI

13

6

19

9

IFAKARA MJI

29

15

44


JUMLA

250

69

319

Uandikishaji wa Wanafunzi wa Elimu ya Awali, Darasa la I-2024  na Kidato cha 1-2024

Jumla ya Wanafunzi wa Awali 81,475 wakiwemo (Wav 41,441) na (Was 40,034) wameandikishwa kati ya 93,551  sawa na asilimia 87.09 ya waliotarajiwa. Wanafunzi 89,215 wakiwemo (Wav 44,834) na (Was. 44,381) wameandikishwa kuanza Darasa la Kwanza kati ya 84,642  waliotarajiwa sawa na asilimia 105.4.  Jumla ya wanafunzi 47,798 wakiwemo (Wav 22,757)  na (Was. 25,041) wa Kidato cha Kwanza 2024 wameripoti kati ya 56,827 waliochaguliwa kujiunga na  shule za Kutwa  Mkoani Morogoro sawa na asilimia 82. Mchanganuo  wa wanafunzi walioandikishwa na walioripoti kwa kila halmashauri umeambatishwa katika majedwali hapa chini:

Jedwali Na. 2TAARIFA YA UANDIKISHAJI WA WANAFUNZI  WA ELIMU YA AWALI 2024

MKOA

HALMASHAURI

 MAOTEO 

WALIOANDIKISHWA (WASIO WA MAHITAJI MAALUM)

WALIOANDIKISHWA (MAHITAJI MAALUM)

 JUMLA WALIOANDIKISHWA 

ASILIMIA YA UANDIKISHAJI

 WAV 

 WAS 

JUMLA

WAV

WAS

JUMLA

WAV

WAS

JUMLA

WAV

WAS

JUMLA

WAV

WAS

JUMLA

MOROGORO

Gairo

4354

4462

8816

3582

3637

7219

0

0

0

3582

3637

7219

82.27

81.51

81.89

Ifakara TC

3572

3596

7168

3829

3611

7440

5

4

9

3834

3615

7449

107.3

100.5

103.92

Mlimba

4326

4440

8766

3560

3447

7007

3

2

5

3563

3449

7012

82.36

77.680

79.99

Kilosa

9057

9006

18063

8334

8149

16483

45

36

81

8379

8185

16564

92.51

90.88

91.70

Malinyi

4006

4011

8017

3109

2972

6081

50

42

92

3159

3014

6173

78.86

75.14

77.00

Morogoro

5839

5767

11606

4810

4657

9467

7

2

9

4817

4659

9476

82.5

80.79

81.65

Morogoro MC

5566

5701

11267

3917

3781

7698

12

20

32

3929

3801

7730

70.59

66.67

68.61

Mvomero

6192

6377

12569

5987

5785

11772

25

26

51

6012

5811

11823

97.09

91.12

94.06

Ulanga

3684

3595

7279

4139

3838

7977

27

25

52

4166

3863

8029

113.08

107.5

110.30

JUMLA

46596

46955

93551

41267

39877

81144

174

157

331

41441

40034

81475

88.94

85.26

87.09




Jedwali Na. 3:Taarifa ya Uandikishaji wa Wanafunzi wa Darasa la Kwanza 2024

NA

HALMASHAURI

 MAOTEO 

WALIOANDIKISHWA (WASIO WA MAHITAJI MAALUM)

WALIOANDIKISHWA (MAHITAJI MAALUM)

 JUMLA WALIOANDIKISHWA 

ASILIMIA YA UANDIKISHAJI

 WAV 

 WAS 

 JUMLA 

WAV

WAS

JUMLA

WAV

WAS

JUMLA

WAV

WAS

JUMLA

WAV

WAS

JUMLA

MOROGORO

Gairo

4322

4335

8657

3460

3681

7141

8

10

18

3468

3691

7159

80.24063

85.14418

82.69608

Ifakara TC

3118

3087

6205

3952

3921

7873

6

3

9

3958

3924

7882

126.9403

127.1137

127.0266

Mlimba

3724

3856

7580

4197

4235

8432

2

7

9

4199

4242

8441

112.7551

110.0104

111.3588

Kilosa

8328

8288

16616

9014

9,072

18086

40

34

74

9054

9106

18160

108.7176

109.8697

109.2922

Malinyi

3331

3290

6621

3210

3003

6213

46

50

96

3256

3053

6309

97.74842

92.79635

95.28772

Morogoro

5241

5137

10378

5566

5339

10905

13

11

24

5579

5350

10929

106.4492

104.1464

105.3093

Morogoro MC

5008

5233

10241

6152

6195

12347

30

40

70

6182

6235

12417

123.4425

119.1477

121.2479

Mvomero

6007

5864

11871

5,982

5,725

11707

31

24

55

6013

5749

11762

100.0999

98.03888

99.0818

Ulanga

3225

3248

6473

3108

3015

6123

17

16

33

3125

3031

6156

96.89922

93.31897

95.10273

Region Total

42304

42338

84642

44641

44186

88827

193

195

388

44834

44381

89215

105.9805

104.8255

105.4028

Jedwali Na. 4:TAARIFA YA UANDIKISHAJI KIDATO CHA KWANZA 2024

NA

HALMASHAURI

WALIOCHAGULIWA

WALIORIPOTI (KAWAIDA)

 WALIORIPOTI (MAHITAJI MAALUM) 

JUMLA YA 

WALIORIPOTI

 ASILIMIA YA WALIORIPOTI 

WAV

WAS

JMLA

WAV

WAS

JMLA

WAV

WAS

JMLA

WAV

WAS

JMLA

WAV

WAS

JMLA

1

Gairo

1484

1871

3355

1396

1665

3061

0

0

0

1396

1665

3061

94

89

91

2

Ifakara TC

3422

3433

6855

2925

2927

5852

0

0

0

2925

2927

5852

85

85

85

3

Mlimba

2513

2828

5341

2179

2566

4745

0

0

0

2179

2566

4745

87

91

89

4

Kilosa

5187

5969

11156

4289

4888

9177

27

18

45

4316

4906

9222

83

82

83

5

Malinyi

1367

1562

2929

1255

1441

2696

8

8

16

1263

1449

2712

92

93

93

6

Morogoro

2878

3319

6197

2495

2835

5330

2

4

6

2497

2839

5336

87

86

86

7

Morogoro MC

4752

5133

9885

3614

3888

7502

12

16

28

3626

3904

7530

76

76

76

8

Mvomero

3484

3805

7289

2930

3101

6031

6

4

10

2936

3105

6041

84

82

83

9

Ulanga

1864

1956

3820

1602

1660

3262

17

20

37

1619

1680

3299

87

86

86

Region Total

26951

29876

56827

22685

24971

47656

72

70

142

22757

25041

47798

84

84

84



















 



RASILIMALI WATU

Idadi ya walimu shule za Msingi na Sekondari

 

Mkoa wa Morogoro una jumla ya walimu 9791 kwa Shule za Msingi na walimu 5098 wa shule za Sekondari wakiwepo 3087 wa masomo ya Sanaa na Biashara na 2011 wa masomo ya Sayansi. Hata hivyo mkoa unayo mahitaji ya walimu kwa shule za msingi na sekondari kama inavyoonekana katika Majedwali yafuatayo;

Jedwali Na. …..: Idadi ya Walimu wa Shule za Msingi


HALMASHAURI

MAHITAJI

WALIOPO

UPUNGUFU

GAIRO

1180

667

513

IFAKARA

1351

906

445

KILOSA

2184

1544

640

MALINYI

893

451

442

MOROGORO DC

1810

1293

517

MOROGORO MC

2148

1955

193

MLIMBA

1456

786

670

MVOMERO

1818

1607

211

ULANGA

1091

582

509

JUMLA

13931

9791

4140



Jedwali Na……:Idadi ya Walimu wa Shule za Sekondari

A: WALIMU WA MASOMO YA SANAA NA BIASHARA


HALMASHAURI

MAHITAJI

WALIOPO

UPUNGUFU

GAIRO

278

161

117

IFAKARA TC

573

209

364

KILOSA

630

530

100

MALINYI

165

99

66

MOROGORO DC

360

345

15

MOROGORO MC

790

810

20

MLIMBA

387

249

138

MVOMERO

501

501

0

ULANGA

299

183

116

JUMLA

3983

3087

936


 

 

B: WALIMU WA MASOMO YA SAYANSI


HALMASHAURI

MAHITAJI

WALIOPO

UPUNGUFU

GAIRO

158

118

40

IFAKARA

412

198

214

KILOSA

547

347

200

MALINYI

115

81

34

MOROGORO DC

285

278

8

MOROGORO MC

575

455

120

MLIMBA

294

165

129

MVOMERO

342

245

97

ULANGA

220

124

96

JUMLA

2948

2011

938



TAALUMA

HALI YA UFAULU MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI (PSLE) 2023

Jumla ya Shule za Msingi 946 zilifanya Mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka 2023. Jumla ya wanafunzi 73,091 wakiwemo Wavulana 35,481 na Wasichana 37,610 walisajiliwa kufanya mtihani.  Watahiniwa waliofanya mtihani ni 71,922 wakiwemo wavulana 34,791 na Wasichana 37,131 sawa na asilimia 98.40 ya watahiniwa waliosajiliwa.

Jumla ya watahiniwa 56,604 Wakiwemo Wavulana 28,964 na Wasichana 27,640 walifaulu mtihani huo. Ufaulu huu ni sawa na asilimia 78.70 ya watahiniwa 71,922 waliofanya mtihani. Nafasi za Halmashuri kwa ufaulu wa asilimia zinaonesha Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro inaongoza kwa asilimia 92.93, ikifuatiwa na Mji wa Ifakara asilimia 92.73 na Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga kwa asilimia 91.25.

 

HALI YA UFAULU MTIHANI WA KIDATO CHA NNE(CSEE) 2023

Jumla ya shule 255 zilifanya mtihani wa kuhitimu kidato cha nne mwaka 2023. Jumla ya Watahiniwa 29,460 wakiwemo wavulana 13899  na wasichana 15561 walisajiliwa, na waliofanya walikuwa watahiniwa 28,821 wakiwemo wavulana 13664 .na wasichana 15157.  Watahiniwa 863 sawa na asilimia 2.91 hawakufanya Mtihani kwasababu mbalimbali ikiwemo kuacha shule, utoro, ugonjwa, vifo.

Tathmini inaonesha kuwa, jumla ya watahiniwa waliopata daraja la kwanza mpaka la nne (waliofaulu) 24,114 sawa na asilimia 83.67

JEDWALI NA….. Ubora wa ufaulu kihalmashauri

HALMASHAURI

HALI YA UFAULU KI HALMASHAURI

UBORA WA UFAULU KIHALMASHAURI

 

% YA UFAULU

NAFASI KIMKOA

% YA UBORA

 WA UFAULU

NAFASI KIMKOA


MLIMBA

99.04

1

47.33

1


MOROGORO MC

89.06

2

46.21

2


ULANGA

86.64

3

26.77

5


GAIRO

85.8

4

26.94

4


IFAKARA TC

82.22

5

27.34

3


KILOSA

81.37

6

25.47

6


MVOMERO

74.79

7

22.15

7


MALINYI

72.8

8

18.39

8


MOROGORO DC

70.89

9

14.73

9


MKOA

83.67


31.47



KITAIFA

87.65


37.42



HALI YA UFAULU MTIHANI WA KIDATO CHA SITA (ACSEE) 2024

 Mkoa wa Morogoro ulikuwa na jumla ya shule 39 zilizofanya mtihani wa kidato cha sita mwaka 2024.  Jumla ya Watahiniwa 3,694 wakiwemo wavulana 1772  na wasichana 12184 walisajiliwa. Watahiniwa  waliofanya walikuwa watahiniwa 4001 wakiwemo wavulana 1874 .na wasichana 2127. Watahiniwa 37 sawa na asilimia 0.93 hawakufanya Mtihani kwa sababu mbalimbali ikiwemo kuacha shule, utoro, ugonjwa, vifo n.k.

Katika matokeo haya , tathmini inaonesha kwamba, watahiniwa waliopata daraja la kwanza mpaka la nne (waliofaulu) 3938 ni sawa na asilimia 99.02 ..

Hali ya ubora wa ufaulu.

Mkoa umeweza kuongeza ubora wa ufaulu kwa kuongeza watahiniwa waliopata daraja la kwanza kutoka 1,416 mwaka 2023 hadi kufikia 1,898 mwaka 2024 sawa na ongezeko la watahiniwa 483 (asilimia 34.11).

Jedwali la Matokeo ya Kidato cha Sita (ACSEE) 2024


Waliofanya

Wenye Matokeo kwa Madaraja ya Ufaulu

Nafasi ya Kimkoa

Me

Ke

Jml

Me

Ke

Jml

I

II

III

I – III

%

IV

I - IV

 

0

SCHOOL GPA







Me

Ke

Jml

Me

Ke

Jml

Me

Ke

Jml

Me

Ke

Jml


Me

Ke

Jml

Me

Ke

Jml

%

Me

Ke

Jml

 

1874

2127

4001

1772

2184

3964

1077

822

1899

551

988

1539

174

311

485
1802

2121

3923

98.24

9

5

14

1811

2127

3938

99.03

1

1

2

 

2.4882



































 

MIKAKATI YA KUBORESHA UFAULU

  • Kuendelea kutekeleza KPI
  • Kusimamia ufundishaji na ujifunzaji shuleni kwa walimu
  • Kusimamia mahudhurio ya lazima kwa wanafunzi na walimu shuleni
  • Kusimamia ufanyikaji wa mitihani ya ndani na mazoezi ya kila mara shuleni
  • Kuimarisha kamati za uthibiti ubora wa shule wa ndani na kufanyia kazi maoni na mapendekezo ya tathmini za shule zinazotelewa na wathibiti ubora.
  • Kusimamia kwa dhati mafunzo ya walimu Kazini (MEWAKA)
  • Kulipa stahiki za walimu kwa wakati na kufanyia kazi stahili zao za kiutumishi ikiwemo kuwapandisha madaraja.
  • Kuhakikisha kwamba shule zote zinatoa chakula cha mchana kwa wanafunzi wote shuleni
  • Kuimarisha michezo katika shule za msingi na sekondari.

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. May 13, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • ZAIDI YA TRILIONI 3 ZATEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO MKOANI MOROGORO

    June 16, 2025
  • UPUNGUFU WATUMISHI WAIBUKA HOJA ZA CAG MLIMBA.

    June 11, 2025
  • UPUNGUFU WA TUMISHI WAIBUKA HOJA ZA CAG MLIMBA.

    June 11, 2025
  • HOJA ZA MANUNUZI ZASABABISHA RC KUTOA MAAGIZO MAZITO IFAKARA.

    June 09, 2025
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akikagua ujenzi wa jengo la ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro

    Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO

    Simu: +2550232934305

    Simu: +255766828252

    Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.