Maadhimisho ya kilele cha siku ya wanawake duniani yamepamba moto. Mkoani Morogoro maadhimisho hayo yanafanyika Wilayani Gairo
Hawa ni baadhi ya tu ya akina mama wakiwa kwenye maandamano Leo tarehe 8, machi 2023
Hawa ni baadhi tu ya akina mama wakiwa kwenye maandamano hayo ya kusherekea maadhimisho
Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.