Picha mbalimbali za matukio wakati wa kikao cha kutathmini utekelezaji wa Mkataba wa Lishe pamoja na Mpango wa Mfuko wa Afya ya Jamii (iCHF). Kikao hiki kinafanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Glonency uliopo eneo la Nanenane katika Manispaa ya Morogoro leo tarehe 16 Julai, 2021.
Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.