Ulitoa ushirikiano wa kutosha na umekuwa mfano wa kuigwa kwa kila mtumishi wa Umma na Wanamorogoro kwa jumla.
Tunakutakia kila la kheri katika majukumu mapya yaliyo mbele yako na ''MUNGU AKUONGOZE''
Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.