• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Mlimba
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Ugavi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

Miradi ya maendeleo inalenga kutatua changamoto za wananchi, kuongeza kipato

Posted on: October 11th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima amesema miradi ya maendeleo ikiwemo madaraja, barabara, viwanda, shule na hospitali inayotekelezwa na Serikali Mkoani Morogoro inalenga kutatua changamoto za msingi zinazowakumba wananchi katika maeneo yao sambamba na kubadilisha maisha yao.

Mhe. Adam Malima amesema hayo Oktoba 11, 2023 alipokuwa anaongea na wanafunzi wa Chuo cha Ukamanda na Unadhimu (CSC) cha Duluti Mkoani Arusha waliofika Mkoani hapa Oktoba 9 kwa ziara ya siku tano kwa lengo la kujifunza mambo mbalimbali ya kimaendeleo.

"... maendeleo maana yake ni misingi ya kubadilisha maisha ya wananchi wanaopelekewa miradi hii, kama Mkoa wa Morogoro fedha zinazokuja tunahakikisha zinaenda kutatua matatizo yanayohusiana na maendeleo kwa wananchi..."

Aidha, Mkuu huyo wa Mkoa amesema Serikali haijengi miundombinu hiyo kwa kujifurahisha bali kulingana na mahitaji na umuhimu wa miradi husika katika eneo hilo kwa sababu fedha zinazotumika ni za wananchi, hivyo wajibu wa Serikali ni kutekeleza miradi itakayowanufaisha wananchi wa eneo husika.

Sambamba na hayo, Mkuu huyo wa Mkoa amesema Mkoa wa Morogoro ni mzalishaji Mkuu wa zao la karafuu hapa nchini baada ya Visiwa vya Pemba ambalo linauzwa kilo moja Tsh. 18,000 huku akibainisha mazao mengine ya biashara yanayoweza kustawishwa mkoani humo kuwa ni pamoja na tangawizi, Kakao na pilipili mtama  hivyo kuwataka wakulima Mkoani humo kulima mazao hayo ili kuongeza kipato chao naTaifa.

Katika hatua nyingine Mhe. Adam Kighoma Ali Malima amewataka wafugaji mkoani humo kubadili mtindo wao wa kufuga, kuwa na mifugo michache na yenye tija badala ya kuwa na mifugo mingi isio na tija kwao na kusababisha migogoro baina yao na wakulima.

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. May 13, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • WAHARIRI NCHINI WAPATIWA MAFUNZO USIMAMIZI WA MNYORORO WA UGAVI.

    June 17, 2025
  • ZAIDI YA TRILIONI 3 ZATEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO MKOANI MOROGORO

    June 16, 2025
  • UPUNGUFU WATUMISHI WAIBUKA HOJA ZA CAG MLIMBA.

    June 11, 2025
  • UPUNGUFU WA TUMISHI WAIBUKA HOJA ZA CAG MLIMBA.

    June 11, 2025
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akikagua ujenzi wa jengo la ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro

    Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO

    Simu: +2550232934305

    Simu: +255766828252

    Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.