MWENGE WA UHURU WAENDELEA NA MBIO ZAKE WILAYANI MVOMERO
Ikiwa ni siku ya tatu tangu Mwenge wa Uhuru kuingia na kukimbizwa Mkoani Morogoro, leo Agosti 26 Mwenge wa Uhuru umekimbizwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero na kupitia miradi ya maendeleo sita yenye thamani ya shilingi za Kitanzania 2.2Bil. huku miradi hiyo kufanikiwa kukubaliwa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2022 ndugu Sahili Geraruma kwa kutoa maelekezo kadha wa kadha ya kukamilisha ili miradi kuwa katika ubora unaotakiwa.
Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.