• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Mlimba
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Ugavi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

RC MALIMA AWATAKA WANAMOROGORO KUJIANDIKISHA KWENYE ORODHA YA WAPIGA KURA.

Posted on: October 10th, 2024


Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima amewataka wananchi wa Mkoa huo kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura, zoezi linalotarajia kuanza kesho Oktoba 11 hadi 20, 2024 na kusisitiza kuwa zoezi hilo ni muhim kwa kila mwananchi ili aweze kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaaa hapo Novemba 27 mwaka huu.

Mhe Malima ametoa wito huo Oktoba 10, 2024 wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi yake ambapo kwa mwakaa huu uchaguzi wa serikali za mitaaa una kaulimbiu inayosema " Serikali za Mitaa, Sauti ya Wananchi, Jitokeze kushiriki Uchaguzi"

Aidha Mhe. Malima amesema maandalizi ya uandikishaji wa wapiga kura yamekamilika katika Mkoa huo ikiwa ni pamoja na upokeaji wa madaftari ya kuandikisha wapiga kura na kusambazwa katika vituo litakapofanyika zoezi la uandikishaji hivyo amesema ni wajibu kwa kila mwananchi kushiriki kikamilifu katika zoezi hilo la kujiandikisha.

"... Wito wangu ni kwa kila mwananchi mwenye sifa kuanzia miaka 18 na kuendelea kujitokeza kujiandikisha ili kuwa na haki yake ya kupiga kura .." Amesisitiza Mhe. Adam Malima.

Amesema, kupitia sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 Mkoa wa Morogoro unakadiriwa kuwa na jumla ya wakazi 3,200,000 ambapo kwa mwaka

2024 kupitia vigezo mbalimbali Mkoa huo utakuwa na jumla  ya wapiga kura 1,816,500 waliokidhi vigezo vya wapiga kura.


Pia Mkuu huyo wa Mkoa amesema Mkoa huo utakuwa na jumla ya vituo 3,752 ambapo Halmasahuri ya wilaya ya Kilosa ina vituo 814, Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro  vituo 734, Morogoro Manispaa vituo 294, Mlimba vituo 265, Ifakara Mji vituo 257, Ulanga vituo 222, Malinyi vituo 163, Mvomero vituo 687 na  Gairo vituo 316, huku waandikishaji 3,998 tayari wameshapatiwa mafunzo kwa ajili ya kuanza zoezi hilo.

Sambamba na hayo Mhe. Malima amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa uongozi imara na nia yake ya kuhakikisha kila mtanzania mwenye sifa za kupiga kura anashiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa huku pia akimshukuru kwa  kuwafikishia watanzania maendeleo ya kisiasa, Kijamii na Kiuchumi.


MWISHO.

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. May 13, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • WAHARIRI NCHINI WAPATIWA MAFUNZO USIMAMIZI WA MNYORORO WA UGAVI.

    June 17, 2025
  • ZAIDI YA TRILIONI 3 ZATEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO MKOANI MOROGORO

    June 16, 2025
  • UPUNGUFU WATUMISHI WAIBUKA HOJA ZA CAG MLIMBA.

    June 11, 2025
  • UPUNGUFU WA TUMISHI WAIBUKA HOJA ZA CAG MLIMBA.

    June 11, 2025
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akikagua ujenzi wa jengo la ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro

    Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO

    Simu: +2550232934305

    Simu: +255766828252

    Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.