Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Martine Shigela amezindua Chanjo ya Covid - 19 hii leo Agosti 3, 2021 katika Kituo Cha Afya Cha Sabasaba Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ili Chanjo hiyo ianze kutolewa kwa wananchi wa Mkoa huo.
Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.