Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Martine Shigela akizindua umezaji kingatiba ya ugonjwa wa Usubi uliofanyika tarehe 18 Agosti, 2021 Ofisini kwake.
Dawa hii inagawiwa kwenye jamii kwa watu wote kuanzia miaka 5 na kuendelea nyumba kwa nyumba.
Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.