• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Maelezo ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu na Vitengo
      • Utawala na Rasilimali
      • Serikali za Mitaa
      • Uhasibu na Fedha
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Afya
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Morogoro
    • Mvomero
    • Gairo
    • Kilosa
    • Kilombero
    • Ulanga
    • Malinyi
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Morogoro
    • Morogoro DC
    • Mvomero
    • Gairo
    • Ulanga
    • Malinyi
    • Mlimba
    • Ifakara Mji
    • Kilosa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uchimbaji wa Madini
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma za Ugavi
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Videos
    • Hotuba
    • Picha

Maadhimisho ya miaka 80 hospitali ya Rufaa Morogoro yaanza kuleta Matokeo

Posted on: June 25th, 2025


Maadhimisho ya miaka 80 ya Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Morogoro yaliyofanyika mwezi Mei, 2025 yameanza kuleta mafanikio kwa wadau mbalimbali kujitoa kwa hali na mali kufanya ukarabati wa majengo ya zamani ya hospitali hiyo na kuleta mabadiliko ya utoaji wa huduma kwa wananchi.

Kauli hiyo imebainishwa hii leo Juni 24, 2025 na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Best Magoma wakati wa makabidhiano ya jengo la kliniki maalumu za kibingwa lililofanyiwa ukarabati na  Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) ikiwa ni matokeo ya maadhimisho ya mika 80  ya hospitali hiyo ambapo wadau mbalimbali wameendelea kutoa ushirikiano kukarabati majengo yake.

Dkt. Best magoma amesema, Serikali imendelea kutoa fedha nyingi kwa ajili ya kununua vifaa kama vile X - Rays Machine, CT - SCAN, ujenzi wa jengo la mama na mtoto, jengo la dharura na kuajiri wataalamu bobezi wa afya jambo ambalo amesema  limeenda kuboresha utoaji wa huduma za afya na kukidhi mahitaji ya wakazi wa Mkoa huo na maeneo jirani.

"..Ofisi ya Mkuu wa Mkoa ilikuwa mstari wa mbele kuiongoza Hospitali ya rufaa ya Mkoa katika maadhimisho ya mika 80, tunamshukuru Mkuu wa Mkoa kwa kuweza kuhamasisha wadau mbalimbali.." amesema Dkt. Best magoma.

Kwa upande wake Mganga Mfawidhi wa Hospital hiyo Dkt. Daniel Nkungu amesema, ukarabati wa jengo la kliniki maalum za kibingwa umegharimu zaidi ya shilingi  milioni 20 na lengo la ukarabati huo ni kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi kupitia ubora wa jengo hilo.

Naye Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi Dkt. John Mduma amesema Serikali kupitia sheria za mashirika binafsi imeweza kuweka sheria ya kurudisha kwa wananchi "Community Socila Rensponsibility" (CSR)  ambapo wao kama WCF wameweza kutoa fedha hizo za ukarabati wa jengo hilo ili kusaidia maendeleo katika sekta ya afya.


Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) ndio mdau mkubwa katika kuchangia ukarabati wa jengo hilo la kliniki maalum ya kibingwa na juhudi kubwa zilifanywa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima katika maadhimisho ya miaka 80 ya hospitali hiyo kwa kuwashawishi wadau wa maendeleo kusaidia kutoa fedha za ukarabati majengo hayo.


MWISHO.

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 October 30, 2024
  • TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. May 13, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • Maadhimisho ya miaka 80 hospitali ya Rufaa Morogoro yaanza kuleta Matokeo

    June 25, 2025
  • RC MALIMA AENDELEA KUPAMBANA KUTATUA KERO YA MAJI MANISPAA YA MOROGORO.

    June 21, 2025
  • WAHARIRI NCHINI WAPATIWA MAFUNZO USIMAMIZI WA MNYORORO WA UGAVI.

    June 17, 2025
  • ZAIDI YA TRILIONI 3 ZATEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO MKOANI MOROGORO

    June 16, 2025
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akikagua ujenzi wa jengo la ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Maelezo ya Mkoa
  • Tangazo la Zabuni
  • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
  • Hotuba
  • Taarifa kwa Umma

Kurasa Mashuhuri

  • Tovuti ya Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Katibu Mkuu Kiongozi
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Morogoro

    Sanduku la Posta: S.L.P 650 MOROGORO

    Simu: +2550232934305

    Simu: +255766828252

    Barua pepe: ras.morogoro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2024 Ofisi Ya Mkuu wa Mkoa Morogoro. Haki Zote Zimehifadhiwa.