Posted on: August 3rd, 2023
Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Peter Pinda amefurahishwa na ujenzi wa kiwanda cha Sukari cha Mkulazi kinachomilikiwa na serikali kwa 100%, huku idadi ...
Posted on: August 2nd, 2023
Hapa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Peter Pinda anasalimiana na baadhi ya viongozi na wadau wa sekta za kilimo, ufugaji na Uvuvi mara baada ya kuwasili...
Posted on: August 1st, 2023
Mkuu wa Morogoro Mhe. Adam Malima amesema Mkoa kupitia sekta ya kilimo umejipanga kufufua mazao ya kimkakati yakiwemo pamba na kahawa ambayo awali yalikuwa yakizalishwa kwa wingi katika Mkoa huo.
...